JIMBO LA ALASKA (USA)

Imagine Urusi ingekuwa inaimiliki Alaska. Ingekuwa ni rahisi Urusi kuivamia US na masuala ya Cuban missile crisis tusingeyasikia maana Alaska iko karibu na mainland USA kuliko Cuba ilivyo.
Urusi asingeweka miundombinu ya maana kule, angeweka kambi za kijeshi tu na miundombinu kiasi.
 
Wanaokosoa saana hawana walijualo ndo mana wanabadilisha mada
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbavu Kwenye ubora wao ,kitu hawajui hawakai kimya wanatafuta vikosa vidogo vidogo wapate Cha kuandika hata Tramp hajui hajui herufi zinazounda neno TANZANIA ndio maana yeye akaiita malekani na kakosea hapo Kwenye Marekan tu sasa mipumbavu ndio ikaona point na kufikia kusema unanikera uandishi wako au ndo kwa kua imetajwa marekani ee ? Maana Kuna watu humu marekani wanaona Kama peponi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemeana na mchangiaji wa kwanza
Hapo comment ya kwanza imeanza kwa kukosoa uandishi
 
Wewe ambae si MPUMBAVU mbona hatuoni jibu lako...
 
Huwa sielewi mtu mzima anashindwa vipi kutofautisha l na r[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Binafsi pia nachefukwa sana. Mtu kwenye L anaweka R. Na kwenye R anaweka L.
 
Mtoa mada hadi saiv hajasaidika zaidi ya kupewa madongo! Kam hatujui kitu hlf tukapata mahali pa kuegemea tunakomalia haswa

Kuna maswali ambayo ni intelligent related unapoyauliza ni lazima uoneshe kweli kwamba wewe ni intelligent.

Otherwise watu watakuchukulia kama comedy au wanaona kama vile umeruka darasa, uko darasa la 3b unaulizia vitu vya form 3.
 
Na mtu mpaka unafungua thread unatakiwa uhakiki thread yako mara mbili tatu, kabla haujaipost kuepuka makosa ya kiuandishi. Kama hauwezi changia za wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna maswali ambayo ni intelligent related unapoyauliza ni lazima uoneshe kweli kwamba wewe ni intelligent.

Otherwise watu watakuchukulia kama comedy au wanaona kama vile umeruka darasa, uko darasa la 3b unaulizia vitu vya form 3.
Haswaaaaa...

Jamaa ni kama vile amesikia sehemu hii mada akaileta humu. Huo uandishi sasa it's like mwanafunzi wa darasa la pili amaongeleaada ya darasa la saba. Hata ukimuelewesha sidhani kama atakuelewa. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ole wako fukara wa akili akagundua kosa lako, utajuta kuzaliwa[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haswaaaaa...

Jamaa ni kama vile amesikia sehemu hii mada akaileta humu. Huo uandishi sasa it's like mwanafunzi wa darasa la pili amaongeleaada ya darasa la saba. Hata ukimuelewesha sidhani kama atakuelewa. [emoji16][emoji16][emoji16]
Duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…