Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,138
Malekani ni wapi?
Watu wenye akili zilizo sawa watataka kujua kwanza Malekani ni wapi ili wampe ufafanuzi wa maswali yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
History nzuri Sana !!Na Russia ililiuza jimbo hilo kwa US kwa $200,000# tu za miaka hio.
Una hoja ya msingi ila uandishi wako umechefua wengi including me.
Usitegemee kupata majibu.
Hujui kitu weweUna hoja ya msingi ila uandishi wako umechefua wengi including me.
Usitegemee kupata majibu.
Hata wewe pia hujui kuandikawew ni mwanamke au mwanaume maana wanawake wa mbeya, singida nakanda ya ziwa sehemu ya hefufi " R" wao wanaweka " L" kaza ulimi andazi wewe unakera na maandishi haya umesoma shule gani wewe? kabla ya kupost ugoro pitia na kama umeshajiona ulimi na ubongo wako una hitilafu katika kuandika na kuongea herufi hizo basi tafuta watu wakusaidie
Haya nakupa zoezi uwe unarudia mara 50 ubongo wako utakaa sawa. MAGARI ....MAGARI....MAGARI .......SERIKALI.....SRERIKALI...SERIKALI
Sasa naamini JF ilishavamiwa na MBU*3, hivi kweli mtu mwenye hoja na majibu yasiyo na ukakasi atahangaika na 'R' au 'L'?
Ubongo una uwezo wa kuchambua data na kuelewa logic ya kilichoandikwa au kutamkwa! Hata kama uwasilishwaji ukiwa ni wa kimakosa bado ubongo unao uwezo wa kujenga hoja kibinafsi, kunyambua na kufikia hitimisho ili kuelewa kusudi.Malekani ni wapi?
Atakuwa aliuza kwa sababu zingine na si kwa baridi. Sidhani kama Alaska kuna baridi kuzidi Siberia.Alaska kuna baridi Kali mnooo, kwa kipindi kile ilivyouzwa Russia ilibidi auze tu maana naskia alikuwa vutani na hilo jimbo aliogopa lingechukuliwa hivyo akaona ni hero auze tu hasa ukizingatia kuna baridi Kali, kwa sasa kuna madini yamegundulika huko naskia.
Wote mliomkejeli mleta uzi kutofautisha L na R mnafaa kuwa kijiwe cha vijana wanaobalehe,
Uwezo wako wa akili ndipo ulipo ishia hapo.wewe na mtoa post ni kitu kimoja kama wewe unajua mbona hujaweka majibu.Hujui kitu wewe
"Una hoja ya msingi ila uandishi wako umechefua wengi including me,hivyo usitegemee kupata jibu" What an absurd thing to say!!! If you're willing to help then you do it... Kama huwezi si unatembea tu... Hiyo comment yako haiwezi muongezea mtoa mada maarifa yoyote zaidi ya kumkejeli...Acheni kujjkuta mnajua sana.Uwezo wako wa akili ndipo ulipo ishia hapo.wewe na mtoa post ni kitu kimoja kama wewe unajua mbona hujaweka majibu.
Umeishia kudandia comments za wanaume wenzio.
Si kila hoja ninya kuanzia humu, hoja zingine uliza GOOGLE. ACHENI UVIVU WA KUFIKIRI.
#Multiple_account katika ubora wake.
HKL bana mnamambo
Sema haujuiUna hoja ya msingi ila uandishi wako umechefua wengi including me.
Usitegemee kupata majibu.
Huwa sielewi mtu mzima anashindwa vipi kutofautisha l na r[emoji1745][emoji1745][emoji1745]