kasuku mtu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 321
- 94
nakutakia kutegeka kwema
Wewe unampa lift au yeye anakupa lift?
Huna lolote na wewe uko interested na huyo mama, mawasiliano yote hayo na ukaenda hadi kwake !yeye ndio ananipa lift yupo bank hata sijamuuliza na jioni kaniambia twende sehemu kuna party....hivi nataka nitoke kibaruani niende home coz amesema saa moja tunaenda kunasherehe ya kumuaga nduguye anaolewa..