View attachment 43247 Si unakumbuka wale jamaa walikuwa wanakula ugali kwa picha ya
samaki? Sasa tumeamua kuurejesha rasmi mfumo huo ambao unafaa sana kwa awamu hii ya nne!
aisee hii habari ya kutiana hamu ya mihera asubuhi asubuhi siyo fresh, mwenzako hapa nimeshawaza nimejenga bonge la hoteli na kufungua duka la vifaa vya ujenzi, nouma hivo....!!