Oven kubwa na mixer ya kukandia unga kwa biashara ya Bakery vinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oven kubwa na mixer ya kukandia unga kwa biashara ya Bakery vinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TZ biashara, Oct 2, 2012.

 1. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [h=2][​IMG] Jiko na mixer ya bakery zinauzwa[/h]
  Nauza jiko kubwa la deki 4 pamoja na mixer ya kukandia unga ambayo sijui size yake ila naweza nikasema size ya kati.Vifaa hivi vipo katika hali nzuri na vyote vinatumia umeme mkubwa (3 phase)Kiukweli tu ni kwamba nilivituma miaka miwili iliyopita kutoka uingereza lakini hatujawahi kuvitumia kwasababu zisizoweza kuzuilika na kwakuwa sipo huko na watu niliotegemea kufanya nao biashara haikuwezekana.Hili jiko ni zito sana linahitaji usaidizi wa winch ili kulibeba kwa uangalifu na uzuri wa hili jiko vilevile unaweza kulifungua ktk deki 4 na ukilifikisha linapokwenda unaliunganisha.Hii ni biashara ya uhakika wala haikutupi na sehemu yoyote.Vifaa hivi vipo mkoani Dodoma na Bei ni milioni 6.5 kwa zote mbili naomba uwasiliane na Ali 0714343031 au 0754295614 au 0784295614

  [​IMG][​IMG]
  [​IMG][​IMG][​IMG]

   
 2. d

  destiny1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Interesting, tatizo mshiko...
   
Loading...