Jiko kubwa na mixer ya bakery zinauzwa

Jiko kubwa na mixer ya bakery zinauzwa

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
523
Reaction score
107
icon1.png
Jiko na mixer ya bakery zinauzwa

Nauza jiko kubwa la deki 4 pamoja na mixer ya kukandia unga ambayo sijui size yake ila naweza nikasema size ya kati.Vifaa hivi vipo katika hali nzuri na vyote vinatumia umeme mkubwa (3 phase)Kiukweli tu ni kwamba nilivituma miaka miwili iliyopita kutoka uingereza lakini hatujawahi kuvitumia kwasababu zisizoweza kuzuilika na kwakuwa sipo huko na watu niliotegemea kufanya nao biashara haikuwezekana.Hili jiko ni zito sana linahitaji usaidizi wa winch ili kulibeba kwa uangalifu na uzuri wa hili jiko vilevile unaweza kulifungua ktk deki 4 na ukilifikisha linapokwenda unaliunganisha.Hii ni biashara ya uhakika wala haikutupi na sehemu yoyote.Vifaa hivi vipo mkoani Dodoma na kusafirisha mpaka DAR inaweza ikafika kati ya 120,000 mpaka 200,000 inategemea mapatano na dereva lakini sina uhakika zaidi ila haizidi. Bei ni milioni 6.5 kwa zote mbili naomba uwasiliane na Ali 0714343031 au 0754295614 au 0784295614


 
Mkuu mbona unaweka hii post kila wakati?
Ibadili basi uweke details na discount... Kama mzigo hautoki unatakiwa uufanyie promo, sio kila siku tangazo hilohilo tu amvalo halina details.....

Kama hutaki unaacha.
 
Mkuu mbona unaweka hii post kila wakati?
Ibadili basi uweke details na discount... Kama mzigo hautoki unatakiwa uufanyie promo, sio kila siku tangazo hilohilo tu amvalo halina details.....

Kama hutaki unaacha.

Bigirita....Biashara inahitaji mazoea na uvumilivu kwanza.Kuirudisha kila mara sioni tatizo kwasababu wako wanaoliona tangazo hili kila linapowekwa ila wapo ambao ndio mara ya kwanza kuliona.Na sio kama haipati hata mtu wakuulizia wengi wao wamekwenda kuliona lakini wanajipanga,lakini kwa mfanya biashara mzoefu huwezi kumsubiri mteja mmoja tu ila unaendelea na mchakato wa kutafuta mteja mwingine and never give up.Ni mwenyezi mungu ndie ajuae zaidi nani lini saa na dakika ipi atatokea mteja.Haviozi hivi wewe ukiliona lipite wala usisome kama linakuboa.Kwa yule anaejua biashara na yupo sirias kununua anaweza kuongea tu lakini huwezi kuongea na mtu ambae hahitajii halafu akwambie punguza bei.Bei hiyo ipo poa kabisa kwa mwenye kujua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom