Jiko la Umeme 4 plates kwa 300,000/=

Jiko la Umeme 4 plates kwa 300,000/=

Ayster

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
42
Reaction score
8
habari.

Nauza jiko ambalo nilikua nalitumia mimi mwenyewe la umeme.

- Germany made, brand ya Ignis

- Lina sehemu nne za kupikia (4 plates)

- Linafanya kazi vizuri na halina shida yoyote

- Lina oven kubwa kwa ajili ya "grilling" and "warming"

Jiko lipo sinza, Dar es Salaam. Mwenye kuhitaji ani PM kwa mawasiliano
 
Umeme umepanda sana bei, na majiko ya umeme yanatumia umeme mwingi mno, ndio maana watu wengi siku hizi hawayatumii.Kwa wale wanaolipiwa bili za umeme, wanaweza kuwa wateja wako wazuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom