Jiko la Umeme 4 plates kwa 300,000/=

Jiko la Umeme 4 plates kwa 300,000/=

Ayster

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
42
Reaction score
8
habari.

Nauza jiko ambalo nilikua nalitumia mimi mwenyewe la umeme.

- Germany made, brand ya Ignis

- Lina sehemu nne za kupikia (4 plates)

- Linafanya kazi vizuri na halina shida yoyote

- Lina oven kubwa kwa ajili ya "grilling" and "warming"

Jiko lipo sinza, Dar es Salaam. Mwenye kuhitaji ani PM kwa mawasiliano
 

Attachments

  • jiko.jpg
    jiko.jpg
    359.3 KB · Views: 149
  • jiko 2.jpg
    jiko 2.jpg
    348.9 KB · Views: 76
  • jiko 3.jpg
    jiko 3.jpg
    895.6 KB · Views: 64

Similar Discussions

Back
Top Bottom