M Mkombozi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 844 Reaction score 476 Aug 21, 2012 #1 Wakuu nimesikia kuna jiko linalotumia kuni tatu tu chakula kinaiva.Naomba mwenye taarifa za uhakika atujuze zaidi mechanisms za jiko hili
Wakuu nimesikia kuna jiko linalotumia kuni tatu tu chakula kinaiva.Naomba mwenye taarifa za uhakika atujuze zaidi mechanisms za jiko hili
K kilema pofu Member Joined Aug 12, 2012 Posts 28 Reaction score 3 Aug 23, 2012 #2 tusubili wakinamama watu habalishe mkuu
M Mwanaharakatihuru JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 477 Reaction score 120 Aug 23, 2012 #3 Lipo la ukuni mmoja tu na chakula chake noma lazima uvimbe tumbo
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Aug 23, 2012 #4 toooooooobaaaa Mwanaharakatihuru said: Lipo la ukuni mmoja tu na chakula chake noma lazima uvimbe tumbo Click to expand...
toooooooobaaaa Mwanaharakatihuru said: Lipo la ukuni mmoja tu na chakula chake noma lazima uvimbe tumbo Click to expand...