Pah Amadu
Member
- Feb 16, 2022
- 25
- 20
Inafahamika binadamu na wanyama huvuta ndani hewa ya Oksijeni na kutoa nje hewa ya Kabonidayoksaidi.
Lakini pia inafahamika kwamba hewa ya Oksijeni ndiyo inayosaidia kuwaka kwa moto, na Kabonidayoksaidi hupelekea kwa kuzimika kwa moto.
SWALI:-
Kwanini jiko la kuni likipulizwa na hewa kutoka kwenye mapafu ya binadamu kupitia mdomoni moto huwaka na sio kuzimika??
LEARN to LEARN