heshima zenu wana jf.. nimechoshwa na maisha ya kula kwa mama ntilie, nataka nijipikie mwenyewe. Naomba kufahamu ni JIKO gani la gesi 2 plates mnaweza kunishauri ninunue?? Naomba kuwasilisha wakuu