TZ biashara
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 523
- 107
JIKO LA GESI KWA BIASHARA YA BAKERY AU HOTELI (Restaurant) n.k
Jiko linauzwa milioni 3 limetumika na lipo katika hali nzuri.Jiko hili linatumia Gesi lakini vilevile linahitaji umeme kwa ajili ya kuwashia tu yaani swichi yake inatumia umeme lakini matumizi yake hutumia Gesi.Lipo Ilala katika duka na kwa maelezo mengine zaidi au kama unahitaji kuona vitu vingine tafadhali wasiliana na 0773027777