Jijini Dar Es Salaam-Mandhari

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267

wenyeji mmepabaini hapa? kuna vioo-ngozi wote wa nchi,wanapitia hapa hapa kwenda kuhani, kuzindua etc
 
Mkuu ni maeneo gani hayo, maana sijapashika vizuri, khaa
 
chambers watu wanatoka namifuniko,nakuuza aka schrepa,sasa zimeziba,basi tabu tupu maeneo ya upanga,umasikini wetu fikra zetu,nchi yetu.
 
Maeneo ya Chuo cha Biashara CBE- DSM, itakuwa mipira ya kiume imeziba mitaro maana wanafunzi wa chuo hicho wako bize sana na yale mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…