Tanzania Mpya
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 252
- 145
Ushindi wa Mnyika umefurahisha, na kuonyesha kwamba ulikuwa si ushindi wake au wa CDM tu bali wa wengi, umati wa watu waliandamana toka Mahakama Kuu hadi Kimara!
Kwa kweli Mnyika na CDM wamefunika Jiji.
Pipooooooz!
Mbona maeneo ya Mwenge na Mikocheni hatujasikia mlindimo huo nawe umesema ni jiji zima?
Mkuu tumbiri Leo sijakuona jamviniNa Jumamosi tunafunika Jangwani.
TUMBIRI wa JF,
tumbiri@jamiiforums.com
hii kimara na hiyo mahakama vyote viko kaskazini
Halafu jaji ni mdini Kama mtei na wote wametoka kaskazini hata mkutano wa jumamosi unaofanywa jangwani magamba Wanasema ni kaskazini mwa dsmhii kimara na hiyo mahakama vyote viko kaskazini
Uongo mwingine wala hauna rutuba kwa chama....hayo maandamano yalipitia barabara gani?! Mishemishe zangu zipo Mtaa wa Ohio; mtaa ambao hutumika sana kutoka na kwenda mahakama kuu. Na nilikuwa pale tangu saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni!!! Mie hayo maandamano mbona sikuyaona zaidi ya Pick Up moja ambayo ilibeba wafuasi wa CHADEMA? Walipitia Kivukoni Front hadi Morogoro/or Azikiwe hadi Bibi TT au walizungukia Ocean Rd?Ushindi wa Mnyika umefurahisha, na kuonyesha kwamba ulikuwa si ushindi wake au wa CDM tu bali wa wengi, umati wa watu waliandamana toka Mahakama Kuu hadi Kimara!Kwa kweli Mnyika na CDM wamefunika Jiji.Pipooooooz!
Watakuambia Dar ni ya ukanda wa kaskazini
Uongo mwingine wala hauna rutuba kwa chama....hayo maandamano yalipitia barabara gani?! Mishemishe zangu zipo Mtaa wa Ohio; mtaa ambao hutumika sana kutoka na kwenda mahakama kuu. Na nilikuwa pale tangu saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni!!! Mie hayo maandamano mbona sikuyaona zaidi ya Pick Up moja ambayo ilibeba wafuasi wa CHADEMA? Walipitia Kivukoni Front hadi Morogoro/or Azikiwe hadi Bibi TT au walizungukia Ocean Rd?
Na Jumamosi tunafunika Jangwani.
TUMBIRI wa JF,
tumbiri@jamiiforums.com