Jiji la Mwanza


Asante kwa maelezo yako ya nyongeza,ila mim kwa mda niliokuepo mwanza huo ndio mtazamo wangu,wala lengo langu halikua kufanya study ya jiji la mwanza,km ningefanya study ningeibuka na mambo mengi zaidi.
 

Muda wa kununua viwanja ndiyo huu mkuu, lakini hata hivyo siridhiki na kibanda changu kilipo, uzeeni haitakiwi sehemu yenye msongamano, inatakiwa jirani wa karibu kabisa awe umbali wa lau mita mia kutoka nyumbani kwangu, hivyo tukienda busisi haina shida mkuu, ila mimi ndoto yangu ni kupata kisiwa kidogo au hata kijipenisula nijenge mjengo wangu nitulie tuliii!
 
Hakuna Mkuu! Haombwi radhi mtu hapa namtetea mleta mada! Kwani uongo sasa kwamba wadada wa Darisalama ndani ya mtongozo wa saa 1 unakuwa umetafunwa? Tuna ushahidi bwana! Big up mleta mada kwa kuwafagilia dada zetu Mza!

umetongoza wangapi mpaka sasa
 
Inawezekana mkuu uzuri kwa Mwanza hata kama hapajapimwa ila master plan ipo ambayo inaonyesha kila kitu hivyo hujachelewa na unachotakiwa ni kutafuta eneo ila kabla ya kutoa hela unamwita mtu wa ardhi ili aangalie kwenye master plan kama eneo hilo limepangwa kwa makazi ya watu, viwanda au taasisi maana usijekununua leo alafu baada ya miaka 5 wanakuja kufanya tathimini mlipwe fidia wanataka kujenga hospitali au kiwanda cha kuchakata gas
 
umetongoza wangapi mpaka sasa
Inabidi muwe mnawapiga kibuti sasa, maana mtu akitongoza sehemu akafanikiwa anakuja na story mademu siku hizi ni machangu kumbe yeye mtongoza wengi ndo hajatulia kilichotokea ukute warembo walimwona somebody na wanaweza wakafanya maisha hivyo wakatumia haki yao ya msingi ya kumpenda bila kujua kama jamaa ni mzee wa kutongoza ovyo
 
Na wanaume wa Mwanza sio tongozatongoza kama mtoa mada ambae siku chache alizokaa mwanza kamaliza wanafunzi wa CBE, SAUT, wafanyakazi wa benki...tunamlaani kwa kuchangia kwake ongezeko la maambukizi

Ha ha haaaaaa uyo kweli tongozatongoza wiki tu kishapata data zote za mapenzi uuuwi
 
wapo ila sio wengi sana,wanapatikana maeneo ya karibu na gold crest hotel,new mwanza hotel ila sio wengi km wale wa kinondoni,sinza huko dar

Obvious kila kitu uko ulikokwenda hakiwezi kuwa kingi au kikubwa ukilinganisha na jiji km dar coz dar ni kubwa zaid na pia ina population kubwa coz imebeba almost watu wa mikoa yote sehem moja.
 
Kube atasubiri tu, watu wanakomaa asee!lol
Wee kaache karopoke!

Hakajawahi kukutana na ving'ang'anizi mpaka kanaachia mzigo huku kakisema nakupa mara moja tu usirudie tena kuning'ang'ania hivyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…