Wengi watakujibu kiushabiki ila kikubwa mie nahisi hii inachangiwa na makabila yanayozunguka pale na ni kwa kiasi gani wanazihenzi tamaduni zao,lakini pia ukanda huo hauna mambo ya kiswahili ambayo kwa kiasi kikubwa yanapelekea ndoa(mapenzi) kuwa sehemu ya maisha na kubweteka wanaume kama wale wa kipwani,na pia bado mwanaume anapewa heshima ya umwanaume kwa kiwango stahiki kwahiyo bado maadili yanasimamiwa kuanzia familia baba yuko juu