Jiji la Mwanza laanza kutumia EFD kukusanya ushuru wa maegesho

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,299
10,341
Katika hali ya kudhibiti ukusanyaji wa mapato sasa hivi jiji la mwanza wanatumia mashine za EFD kukusanya mapato badala ya risiti za kawaida, hongera sana uongozi wa jiji chini ya wabunge mahiri akina Mabula na mameya wao makini.
 
Back
Top Bottom