Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,770
- 4,542
kwanini mji mdogo Wa Mbalizi siyo sehemu ya jiji la Mbeya?na Uyole ambayo INA sifa kama mbalizi ni sehemu ya jiji?
Umbali Wa kutoka Mbeya mjini impala uyole ni mrefu ukilinganisha na umbali Wa kutoka Mbeya mjini mpaka mbalizi!
Idadi ya watu wanaoishi mbalizi ni wengi ukilinganisha na wale waishio UYOLE na maeneo yake ya Jirani!why MBALIZI SIO PART YA JIJI?
Au nashindwa kuelewa ,jiji la Mbeya linakua kuelekea WAP?UYOLE AU MBALIZI?