Jiji la Kigali-Rwanda mwaka 2040...!!!!

Lakn tanzania ni majiji matano yanayokuwa kwa kasi si moja.
 


ukweli mchungu!

Dar ni chafu kiasi cha kutisha ..................na bahati mbaya hapo ndio wageni wetu wanapofikia basi wanaondoka na mtazamo hasi sana; kiasi kwamba mie nimejaribu utaratibu mpya kabisa wageni wangu wote najitahidi watue KIA na ikibidi watue JNIA na washuttle faster tunatoka kabisa hapo ................nauunga mkono hoja DAR NI CHAFU na INANUKA
 
Asante MzalendoHalisi kwa kumsaidi ndugu yetu Mu-Israeli ambayo nafikiri haijua vizuri Dar! Tembelea SKYSCRAPERCITY TANZANIA FORUM, uone mambo..Kigali si kitu kwa Dar!

Kigali shindanisha na Mwanza au Arusha.:heh:
Issue sio majengo bali mpangilio bora wa mji, kuanzia mandhari, barabara na usafi. Hapo Dar tunakwama, itahitajika roho ya chui kwa kiongozi kuujenga huu mji katika mpangilio bora.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…