hata saa mbovu kuna wakati huwa imepatia.Another 100th reason why Makonda should remain as Dar es Salaam Regional Commissiner forever.
Stop pretending young man Unakaa NKASI huko unabisha vitu tunavyoviona Dar es Salaam.Umetumwa kupima upepo JF!!
Mitaa ipi kwa mfanounaishi Dar au Hai?
Suma JKT wameanza kazi? Maeneo gani umetembea? Kuna "garbage bins" ambapo mtu akinywa maji anatupa chupa badala ya kutembea nayo siku nzima mpaka anachoka?Ukweli usemwe tu!
nimetembea mitaa kadhaa ya jiji la Dar es Salaam haswa haswa ile iliyokuwa ikiongoza kwa uchafu hakika nimeanza kuona mabadiliko.
Kwa sasa unaweza kuona aibu kutupa uchafu hovyo kwani unajihisi ukitupa uchafu hovyo unachafua eneo safi.
Miaka kadhaa ya nyuma ilikuwa sio tatizo kuachia uchafu popote kwani kila unapopita palikuwa na takataka.
Hongera kwa uongozi wa jiji...sasa mnatakiwa kumantain.
Naona jiji la Dar likienda kuchukua nafasi nzuri katika usafi wa mazingira.
BY CONCERNED CITIZEN!!
Another 100th reason why Makonda should remain as Dar es Salaam Regional Commissiner forever.