GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 5,339
- 11,881
Unafosi kuwa Mdar es salaam na mswahili wa Pwani.Bora mjerumani alivyo kuja kuingilia kati...itoshe kusema dsm ya sasa niya kila mtu haina mmiliki.
#MaendeleoHayanaChama
Usilolojuwa ni kuwa Waislqm ndio walioanzisha hospitality, waislqm ndio waliosnzisha chuo, suniani.
Elimu uliyonayo chanzo chake ni Waislam. Hata herudi unazotumia kuandikia zinaitwa "alphabet" ambayo inatokana Alif Be Te.
Simu ukutumia kuandikia ujumbe wake chanzo chqke ni wasomi wa Kiislaam.
Mzungu kaja kukugawa akutawale, wewe unamuona wa maana. Muislam aliyeingia cha kwanza kabisa kajenga chuo ili uelimike hilo hulioni¹. Hakika huo ni ujinga wa asili, ni wa kukupa pole tu.
Mbwamaji ipo Kigamboni ...eneo linaitwa sasa Gezaulole mbwamajiHebu kidogo mtaalam historia ya tindea na mbwamaji.vip hio miji ipo wap?
Na Ni lazima ukikataa unakatwa kichwa. Yaani Mungu akulazimishe umuabudu kweli?Nawaza wazungu wasingekuja.. nchi nzima tungefundishwa uislamu tu na kuwa waislamu..
Tungekuwa kama Somalia , sharia za kiislamu zinatawala nchi.
Acha uongo nenda ocean road mpaka Leo kunajengo Lina kibla Cha msikitiSultan Seyyid Majid hakujenga Ocean Road Hospital wala Ikulu ya Dar es Salaam. Eneo la Ikulu hata hivyo ndipo kilipokuwa kijiji cha uvuvi cha Mzizima.
Sultan Majid mji wake aliujenga eneo la kuanzia Waterfront hadi Posta ya zamani. Ikulu yake ilikuwa eneo la waterfront na nyumba Waangalizi wa mji ilikuwa Old boma na nyumba za wageni zilikuwa ilipo sasa Atiman House na nyingine ulivunjwa kukajengwa jengo la iliyokuwa Wizara ya Maji.
Baada ya Majid kufariki mwaka 1870 alitawala Baraghash ambaye hakuwa na nia ya kuendeleza Dar es salaam. Aliaucha mji ukadorora hadi walipokuja Wajerumani na kuitwaa Dar.
Ocean road ilijengwa mwaka 1897 ikiwa ni hospitali ya Wazungu, na pia Ikulu ilijengwa na Wajerumani mwaka 1891 lakini ilipigwa mabomu na kuharibiwa Wakati wa Vita ya kwanza, na ilikarabatiwa mwaka 1922 wakati wa Gavana Sir Horace Byatt chini ya Waingereza.
Kanisa la st. Joseph lilijengwa na Wamisionari Wabenediktini wa Mt Otilien kuanzia mwaka 1897 hadi 1903 japokuwa inasemekana katika eneo hilo kulikuwa na msikiti zamani lakini si kweli kuwa msikiti ulibadilishwa kuwa kanisa.
Kwamba kina plato socrates aristotle na wemgineo hawakujua kuandika hadi maelfu ya miaka baadae uislam ulipoanzishwa ndo na elimu ikaanza? Chai tumpumzishe bibiUsilolojuwa ni kuwa Waislqm ndio walioanzisha hospitality, waislqm ndio waliosnzisha chuo, suniani.
Elimu uliyonayo chanzo chake ni Waislam. Hata herudi unazotumia kuandikia zinaitwa "alphabet" ambayo inatokana Alif Be Te.
Simu ukutumia kuandikia ujumbe wake chanzo chqke ni wasomi wa Kiislaam.
Mzungu kaja kukugawa akutawale, wewe unamuona wa maana. Muislam aliyeingia cha kwanza kabisa kajenga chuo ili uelimike hilo hulioni¹. Hakika huo ni ujinga wa asili, ni wa kukupa pole tu.
Je kama hicho kibla kilikuja kuwa insterted baadae kabisa na mausthadhi...una ushahidi upi?Acha uongo nenda ocean road mpaka Leo kunajengo Lina kibla Cha msikiti
Simu yangu ndiyo inajifundisha Kiswahili.Ujinga mtupu umeandika hapa..hivi shule ulienda kusomea upopoma ....soma tena ulichoandika.
Wewe wacha porojo, umezisoma hati zao? Ndizo hizi unazotumia?Kwamba kina plato socrates aristotle na wemgineo hawakujua kuandika hadi maelfu ya miaka baadae uislam ulipoanzishwa ndo na elimu ikaanza? Chai tumpumzishe bibi
una hamisha goli, herufi tunazotumia leo zimetokea baada ya mageuko yaliyotokana baada ya muda mrefu na muingiliano wa tamaduni elimu za uyunani, germanic na nyenginezo.Walia
Wewe wacha porojo, umezisoma hati zao? Ndizo hizi unazotumia?
Hizo herufi zinaitwaje Kingereza?una hamisha goli, herufi tunazotumia leo zimetokea baada ya mageuko yaliyotokana baada ya muda mrefu na muingiliano wa tamaduni elimu za uyunani, germanic na nyenginezo.