wabongo wameingiwa na roho ya ukatili sana!. wanatumia formalin (kemikali ambayo hutumika kuhifadhia maiti zisioze) ili kuhifadhi samaki zisioze!. kemikali hii ni hatari sana hata kwenye label yake imewekwa alama ya toxic/ fuvu na mifupa. kwa hiyo angalia sana unakonunua samaki na ukisuspect harufu isiyo ya kawaida it is better usiwatumie hao samaki. in addition karibuni tunywe fortified sweet wine (dompo)
kibongobongo ni very few people will tell you ''this is the smell of formalin''. and these guys tends to dilute it to below 10% which is used for dead bodies. kitu ambacho inafanya iwe ngumu kwa mtu ambaye haijui harufu ya formalin kuidetect. pengine pungency unayoisema ni ya 37% ambayo ndiyo formalin inavyotoka kiwandanii cant imagine how this can be possible... formalin has a very pungent smell. should it be in contant with fish... who would be able to take up the fish?
Yap mkuu hii kitu nimewhi kuisikia kipindi fulani kama mwaka mmoja uliopita kuwa kule kanda ya ziwa hasa mwanza na musoma watu wanahifadhi samaki kwa kutumia dawa za maiti ili wasioze nikachukulia kama porojo...Ila nimekuwa nikisikia sikia sana haya mambo hapa Daslam kitu kinachonifanya nianze kuamini kuwa yawezekana kukawa na ukweli ndani yake.......