Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
sio kweli mimi napita sana Seeb Airport hakuna ubaguzi
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Acha kuharibu brand za watu kwa maslai yako binafsi au washirika wako walio kutuma....hakuna kitu kama hicho ndani ya shirika la ndege la oman air wakati % kubwa ya wafanyakazi ni wa oman wenye asili ya tanzania na wanao ongea kiswahi. Ma pilots na wahudumu wa ndani ya ndeni kwa % kubwa ni waswahili huo ubaguzi unao usema umetoka wapi?point hapa ni kwamba you had some irregularities....period
Haha haha yanawatafuna zetu inabidi na sisi tuwatafune dada zao kinyeoKwanini wakati hata wanawake wetu wanaofanya kazi za ndani wanaf*rwa kila siku na Mabulushi yakipeana zamu na WaOmani.
Ni kweli Ndo maana members wengi humu jf ID's zao ni za kizungu. Tupendane wenyewe mwisho wa Siku watakubaliTangiapo hawa wenzetu wawe whites, browns or whatever wanamnyanyapaa sana mtu mweusi. Sisi tulitakiwa tujipende sisi kwa sisi, lakini ni kinyume chake . Sisi hatujipendi sisi kwa sisi badala yake tunawahusudu hao watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi abadani Sipandi Omanair yaa nini bana kushindishwa na kahawa chungu na Kaswida mpaka Bangkok
Peponi si pia ipo sasa kama nimeamua kunywa in advance.pombe
Hili tukio kila mtu ukimwadithia anashangaa sio tukio la kutunga limetokea nikiwa transit hapo airport ya Muscat,Oman air ninaowafahamu,hii ni mpya kwangu.
Nimesafiri nao mara nyingi...sijaona watu wakarimu kama hawa. Kuna siku tuko Oman tunasubiri kuconnect flight, kijana wa Kitanzania alichanganya muda pale airport akaachwa, alilaumiwa kidogo tu then akapewa nafasi ya next flight to London. Nilishanga
Mimi pia nilishachelewa Airport Dsm, nilivyoona nimekwama kwenye foleni nikawapigia simu...wakaniambia tunacancel then nikapewa tiketi nyingine ya kesho kutwa yake.
Nikikumbuka scenario hizo nashindwa hata kuwasema vibaya.
Hili tukio kila mtu ukimwadithia anashangaa sio tukio la kutunga limetokea nikiwa transit hapo airport ya Muscat,
Mkuu naona kama maelezo yako yanachanganya.Hili tukio kila mtu ukimwadithia anashangaa sio tukio la kutunga limetokea nikiwa transit hapo airport ya Muscat,
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
inategemea ni punda wa nani....... HATA OMAN KUNA PUNDA WENGI ZAIDI YA NUSU YA AFRIKA.Kama angekuwa punda Oman wangemwacha?