Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Usipende kuamini sana kila unachokiona ktk mitandao.Wanajf nawatupia huu Uzi kama kutoa tahadhari kwa wale wanaopenda kutumia dawa kwa ajiri ya kuongeza nguvu.
Leo kuna KIJANA mmoja nimemuona KUPITIA EMMANUEL TV dushe lake lilishasimama Siku nyingi (permanent erection)bila kusinyaa. Kumbe dushe likisimama muda mrefu bila kulegea huleta kilio bila aibu maana Dogo alichanganyikiwa, baada ya kuombewa akapelekwa chooni baadaye akarudi na kukojolea hekaluni hadharani bila aibu.
NAWASHAURI KUPITIA HUMU MSITUMIE HIZO DAWA ZA KUONGEZA NGUVU BILA USHAURI WA DAKITARI ALIYESOMEA MAMBO HAYO.
Nawasalisha:
Mimi sijaona kwenye mtandao Bali ilikuwa LIVE kupitia TV.Usipende kuamini sana kila unachokiona ktk mitandao.
Jamaa alimwaga mkojo mwingi bila aibuMmhh kakojolea nyumba ya ibada???
Kwanini isiwezekane? Check marudio ya kipindi recorded kama utakibahatisha maana live ilikuwa Leo Emmanuel TVStori tu, hakuwahi kuwa na erection kwa muda wote huo. Kitaalamu haiwezekani
MmhhJamaa alimwaga mkojo mwingi bila aibu
nasikia eti sie wenye uume mkubwa na korodani tuna uwezo mdogo wa kiakili,sijawahi kupata chemsha bongo darasanikitu Mungu amenijalia ni uume mkubwa na natural erection. Bora uwe maskini kuliko kutodindisha. Bashiteee imekula kwako
Kuna moja ya kumuongezea utamu mwanamke, ni hatari sana! Mechi ya dk 10 anakojoa zaidi ya mara tatu, anaweweseka mpaka unamhurumia, eti anasikia utamu kisogoni, kwenye unyayo, kwenye chuchu n.k tatizo mechi haitakiwi kuzidi nusu saa, ukizidisha anaweza hata kupoteza fahamu kwa kuzidiwa na utamuWanajf nawatupia huu Uzi kama kutoa tahadhari kwa wale wanaopenda kutumia dawa kwa ajiri ya kuongeza nguvu.
Leo kuna KIJANA mmoja nimemuona KUPITIA EMMANUEL TV dushe lake lilishasimama Siku nyingi (permanent erection)bila kusinyaa. Kumbe dushe likisimama muda mrefu bila kulegea huleta kilio bila aibu maana Dogo alichanganyikiwa, baada ya kuombewa akapelekwa chooni baadaye akarudi na kukojolea hekaluni hadharani bila aibu.
NAWASHAURI KUPITIA HUMU MSITUMIE HIZO DAWA ZA KUONGEZA NGUVU BILA USHAURI WA DAKITARI ALIYESOMEA MAMBO HAYO.
Nawasalisha:
bora uwe na uwezo mdogo kiakili kuliko uume mdogonasikia eti sie wenye uume mkubwa na korodani tuna uwezo mdogo wa kiakili,sijawahi kupata chemsha bongo darasani