Jihadhari: Utapeli kutumia jina la Lowassa

Jihadhari: Utapeli kutumia jina la Lowassa

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,266
Nina jamaa yangu kanipigia simu dakika chache zilizopita. Alikuwa ananiazima 315,000/=. Kama mkopeshaji nimemuuliza kwa utani unataka madafu ya kunywea beer? Kumbe nikamfanya jamaa afunguke na kuanza kunipa story za watu wanaojitambulisha wanatoka mtandao wa Lowassa. Ati Lowassa kanunua pikipiki nyingi aina ya Boxer kwa ajili ya kuwapa vijana maeneo fulani, buuuuureee. Kuna list ya majina ya watu wanaotakiwa kupewa, lakini baada ya kuchangia kiasi cha sh. 315,000/= ili kufidia gharama mbalimbali kama Bima na usafiri. Ati wamejisikia kumpa deal jamaa yangu kwa kuwa huyu rafiki aliwapa huduma nzuri sana walipomtembelea ofisini kwao (yeye mtumishi wa afya), na hivyo wako radhi kuondoa jina la mtu mwingine na kupachika jina lake.
Nikasema kaka pamoja na shule yako yoooteee wataka uwe ----- kwa watoto wa mjini? Huyo kashtuka... Utadhani alikuwa usingizini...
 
ni mwaka wa mavuno huu kwa vijana wa miataani kwa matapeli
 
Toka ijulikane lowassa aliingia mkataba usiku kifisadi wa jengo la uvccm wakati huo akiwa mwenyekiti wa baraza la wadhamini.
Niliamini lowassa kweli ni TAPELI
 
Kwani utapeli anaofanya kila siku wa kuwakusanya watu mikoani na kudanganya eti wamekuja kumshawishi unauona mdogo? Acha matusi. Kama huna hoja kaa kimya

Nakuunga mkono Lizaboni, Lowassa ni tapeli number moja, usikute hata hizo deal za piki piki ni yy anataka kuwapiga hela vijana...hata hizo piki piki Boxer haziuzwi kwa sasa hapa Tanzania😕
 
Last edited by a moderator:
Mtachonga Sana LOWASSA chaguo la Mungu,

Kwa kuwa ulikuwapo siku Mungu alipomchagua Lowassa akasema

Tazama, huyu ndiye chaguo langu kuwa rais wenu.

Nawe ukajibu Amina ?

Acheni kumsingizia Mungu kwenye mambo yenu ya dunia. Hahusiki na siasa zenu uchwara!
 
Back
Top Bottom