Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila
kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli.
mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia sim ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane ( 800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini( 70,000/=) ili kukuingiza kingi ukiingia tu imekula kwako
Kwani simu hiyo unayouziwa ni ya mmoja wao (matapeli) na wanakuwa wamekopi Imei number ya simu hiyo sehemu.
Baada ya wiki wanakupigia ili kuangalia kama uko hewani. Huku wameshatoa ripoti polisi kuwa begi limeibiwa kwenye gari pamoja na vitu vingine na hiyo simu ikiwa ni mojawapo kati ya vitu vilivyoibiwa.
Na watatoa maelezo polisi thamani ya vitu vilivyoibiwa niTshs zaidi ya Milioni 7 (katika maelezo yake atakuwa ametaja laptop, fedha taslim na simu tatu au nne.)
Wanapewa mpelelezi na hapo ndipo Jeshi letu linajikuta limeingizwa kingi bila ya kujijua.
Mpelelezi anaomba msaada cyber crime kuitafuta simu hiyo.
Ikipatikana biashara inaanza . Unawekwa chini ya ulinzi kulipa vitu vyote ambavyo hujawahi hata kuviona na kesi ya wizi unayo.
nalishauri jeshi la polisi kuwa makini sana na hizi kesi za cyber. Labda mtakuja gundua kuwa simu hizi zinazotumika kutapelia watu zimekwisha ripotiwa mara mbili au tatu ndani ya miezi mitatu.
Ndugu zangu msikubali kuuziwa simu mkononi ambayo ni used, na kama utanunua simu hiyo ambayo ni used basi mlipe kwa cheque, kagueni Imei number na umpige picha huyo aliyekuuzia pindi unapomkabidhi kiasi hicho cha Malipo.
Ikiwa hataki achana nae ndiyo salama yako.
Matapeli ni wengi sasa na wanabuni mbinu siku hadi siku ili kuyasukuma maisha yao.
Tunaitajika kuwa makini
Sipendagi kabisa kununua vitu mkononi napenda kununua dukani na risiti nachukua kabisaaa
Kwahiyo kosa ni mhusika kutopewa risiti ya makabidhiano au ni kununua simu iliyotumika??Ndugu jifunze Kunata na beat.
Ukinunua gari used unapewa card. Jee huyo wa simu amekupa risiti na imei yake?(vile vikaratasi vinavyokuwa ndani ya box)
Wanajua basi vijana,wamekariri simu iliyotumika inatoka mikononi kwa mtu.Maduka yamejaa frabicated saiv. Bado unaweza kukumbana na hiyo dhahama.
Kwani hakuna maduka ya simu,huoni kuwa anayenunua simu ya laki nane kwa elfu sabini mwenyewe ndie tatizo,hilo ni fundisho tosha.Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila
kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli.
mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia sim ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane ( 800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini( 70,000/=) ili kukuingiza kingi ukiingia tu imekula kwako
Kwani simu hiyo unayouziwa ni ya mmoja wao (matapeli) na wanakuwa wamekopi Imei number ya simu hiyo sehemu.
Baada ya wiki wanakupigia ili kuangalia kama uko hewani. Huku wameshatoa ripoti polisi kuwa begi limeibiwa kwenye gari pamoja na vitu vingine na hiyo simu ikiwa ni mojawapo kati ya vitu vilivyoibiwa.
Na watatoa maelezo polisi thamani ya vitu vilivyoibiwa niTshs zaidi ya Milioni 7 (katika maelezo yake atakuwa ametaja laptop, fedha taslim na simu tatu au nne.)
Wanapewa mpelelezi na hapo ndipo Jeshi letu linajikuta limeingizwa kingi bila ya kujijua.
Mpelelezi anaomba msaada cyber crime kuitafuta simu hiyo.
Ikipatikana biashara inaanza . Unawekwa chini ya ulinzi kulipa vitu vyote ambavyo hujawahi hata kuviona na kesi ya wizi unayo.
nalishauri jeshi la polisi kuwa makini sana na hizi kesi za cyber. Labda mtakuja gundua kuwa simu hizi zinazotumika kutapelia watu zimekwisha ripotiwa mara mbili au tatu ndani ya miezi mitatu.
Ndugu zangu msikubali kuuziwa simu mkononi ambayo ni used, na kama utanunua simu hiyo ambayo ni used basi mlipe kwa cheque, kagueni Imei number na umpige picha huyo aliyekuuzia pindi unapomkabidhi kiasi hicho cha Malipo.
Ikiwa hataki achana nae ndiyo salama yako.
Matapeli ni wengi sasa na wanabuni mbinu siku hadi siku ili kuyasukuma maisha yao.
Tunaitajika kuwa makini
Sheria hazisimamiwi kipopoma namna hiyo mzee.Acheni kuonesha uzuzu... Kasome Sheria za TCRA kwanza ndio uje jf kushangaa vitu vingine vipowazi ila naomba niache kukulamu pengine tunapishana uwezo kifikra na ufuatiliaji na utii wa Sheria... Ila Kama wewe ni mtumiaji wa Simu zilizo chini ya mamlaka ya Nchi ya Tanzania.. Ni Kosa kununua Simu kwa Mtu usiyemjua.. hata kumpa simu yako atumie kwa matumizi yake binafsi kikiwa kibaya atakayehukumiwa ni wewe... hii ipo wazi tahadhari kwa raia wote.. so kuingizwa mkenge na mtu mwingine ni kwamba kakufanya mpumbavu.
Bora umwambie........mambo ya kununua smartphones mkononi mbona yalishapitwa na wakati......?.......
Duuh[emoji119][emoji119][emoji119]Me hii niliinunua Jf hapaa...!!Ninaushahidi wa asilimia 100% hii imewahi kunitokea,nimeuziwa simu baada ya siku kadhaa napigiwa na mtu wa oystarbey natakiwa kule au waje maana traking wanazo ikibadi waje nijiridhishe,nikatakiwa kulipa dolla 300 na kurudisha iyo simu sikupoteza muda pale pale nikalipa maana kikubwa niliogopa kuambiwa mwenye simu kafa.
gari hununu akama simu kuna jkubadiri kadi ya gari kitu kinaachokuwa umiliki halalli wa kisheria na ta wanahusika simu mnakabiziana mkononi tu kila mmoja na njia yake.Ni kosa kununua simu kwa mtu???
Mbona magari mnanunua na hakuna mtu anayewaona washamba.
Kumbe kosa ni kutofuata utaratibu wa makabidhiano baasi.gari hununu akama simu kuna jkubadiri kadi ya gari kitu kinaachokuwa umiliki halalli wa kisheria na ta wanahusika simu mnakabiziana mkononi tu kila mmoja na njia yake.
Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila
kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli.
Mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia simu ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane ( 800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini ( 70,000/=) ili kukuingiza kingi ukiingia tu imekula kwako.
Kwani simu hiyo unayouziwa ni ya mmoja wao (matapeli) na wanakuwa wamekopi IMEI number ya simu hiyo sehemu.
Baada ya wiki wanakupigia ili kuangalia kama uko hewani, huku wameshatoa ripoti polisi kuwa begi limeibiwa kwenye gari pamoja na vitu vingine na hiyo simu ikiwa ni mojawapo kati ya vitu vilivyoibiwa.
Na watatoa maelezo polisi thamani ya vitu vilivyoibiwa ni Tshs zaidi ya Milioni 7 (katika maelezo yake atakuwa ametaja laptop, fedha taslim na simu tatu au nne)
Wanapewa mpelelezi na hapo ndipo Jeshi letu linajikuta limeingizwa kingi bila ya kujijua.
Mpelelezi anaomba msaada cyber crime kuitafuta simu hiyo.
Ikipatikana biashara inaanza. Unawekwa chini ya ulinzi kulipa vitu vyote ambavyo hujawahi hata kuviona na kesi ya wizi unayo.
Nalishauri Jeshi la Polisi kuwa makini sana na hizi kesi za cyber. Labda mtakuja gundua kuwa simu hizi zinazotumika kutapelia watu zimekwisha ripotiwa mara mbili au tatu ndani ya miezi mitatu.
Ndugu zangu msikubali kuuziwa simu mkononi ambayo ni used, na kama utanunua simu hiyo ambayo ni used basi mlipe kwa cheque, kagueni IMEI number na umpige picha huyo aliyekuuzia pindi unapomkabidhi kiasi hicho cha Malipo.
Ikiwa hataki achana nae ndiyo salama yako.
Matapeli ni wengi sasa na wanabuni mbinu siku hadi siku ili kuyasukuma maisha yao.
Tunaitajika kuwa makini
Nyie ndio mnaoibiwa and then mnakuja kulamika sisi tuwasaidie nini wapumbavu?Sheria hazisimamiwi kipopoma namna hiyo mzee.
Hivi unadhani wanaposema simu iliyotumika wanamaanisha imetumika kwa vigezo gani!!!maana bongo simu mpya labda ni 10% ya simu zote,hata hizo unazoona dukani zimetumika nje.
Tcra waliposema wanazima simu za kichina walikwenda kuzima zisizo na imei inayotambulika kwao,wakazima mpaka simu za kikorea,kwahiyo wakisema simu zilizotumika ni marufuku usiibebe hiyo kauli nzima nzima utapotezwa maboya.
Umekutana na mtu anauza simu,makabidhiano lazima yahusishe ushahidi wa maandishi au mashuhuda, basi umemaliza kazi.
Mbona povuuu,kuna mtu kakulala mikia humu!!!!!Nyie ndio mnaoibiwa and then mnakuja kulamika sisi tuwasaidie nini wapumbavu?
Hivi hadi leo bado kuna watu wananunua simu za mkononi tu?!.Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila
kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli.
Mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia simu ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane ( 800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini ( 70,000/=) ili kukuingiza kingi ukiingia tu imekula kwako.
Kwani simu hiyo unayouziwa ni ya mmoja wao (matapeli) na wanakuwa wamekopi IMEI number ya simu hiyo sehemu.
Baada ya wiki wanakupigia ili kuangalia kama uko hewani, huku wameshatoa ripoti polisi kuwa begi limeibiwa kwenye gari pamoja na vitu vingine na hiyo simu ikiwa ni mojawapo kati ya vitu vilivyoibiwa.
Na watatoa maelezo polisi thamani ya vitu vilivyoibiwa ni Tshs zaidi ya Milioni 7 (katika maelezo yake atakuwa ametaja laptop, fedha taslim na simu tatu au nne)
Wanapewa mpelelezi na hapo ndipo Jeshi letu linajikuta limeingizwa kingi bila ya kujijua.
Mpelelezi anaomba msaada cyber crime kuitafuta simu hiyo.
Ikipatikana biashara inaanza. Unawekwa chini ya ulinzi kulipa vitu vyote ambavyo hujawahi hata kuviona na kesi ya wizi unayo.
Nalishauri Jeshi la Polisi kuwa makini sana na hizi kesi za cyber. Labda mtakuja gundua kuwa simu hizi zinazotumika kutapelia watu zimekwisha ripotiwa mara mbili au tatu ndani ya miezi mitatu.
Ndugu zangu msikubali kuuziwa simu mkononi ambayo ni used, na kama utanunua simu hiyo ambayo ni used basi mlipe kwa cheque, kagueni IMEI number na umpige picha huyo aliyekuuzia pindi unapomkabidhi kiasi hicho cha Malipo.
Ikiwa hataki achana nae ndiyo salama yako.
Matapeli ni wengi sasa na wanabuni mbinu siku hadi siku ili kuyasukuma maisha yao.
Tunaitajika kuwa makini
wengi tuKuna utaalamu wa kubadili Imei
wapo wengi tuKuna utaalamu wa kubadili Imei