Jihadhari na wizi huu mpya

Jihadhari na wizi huu mpya

Polisi wenyewe njaa kali. Hawawezi kujihadhari na chochote sababu wanachoangalia ni ulaji tu.
Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila
kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli.

mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia sim ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane ( 800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini( 70,000/=) ili kukuingiza kingi ukiingia tu imekula kwako

Kwani simu hiyo unayouziwa ni ya mmoja wao (matapeli) na wanakuwa wamekopi Imei number ya simu hiyo sehemu.

Baada ya wiki wanakupigia ili kuangalia kama uko hewani. Huku wameshatoa ripoti polisi kuwa begi limeibiwa kwenye gari pamoja na vitu vingine na hiyo simu ikiwa ni mojawapo kati ya vitu vilivyoibiwa.

Na watatoa maelezo polisi thamani ya vitu vilivyoibiwa niTshs zaidi ya Milioni 7 (katika maelezo yake atakuwa ametaja laptop, fedha taslim na simu tatu au nne.)

Wanapewa mpelelezi na hapo ndipo Jeshi letu linajikuta limeingizwa kingi bila ya kujijua.

Mpelelezi anaomba msaada cyber crime kuitafuta simu hiyo.

Ikipatikana biashara inaanza . Unawekwa chini ya ulinzi kulipa vitu vyote ambavyo hujawahi hata kuviona na kesi ya wizi unayo.

nalishauri jeshi la polisi kuwa makini sana na hizi kesi za cyber. Labda mtakuja gundua kuwa simu hizi zinazotumika kutapelia watu zimekwisha ripotiwa mara mbili au tatu ndani ya miezi mitatu.

Ndugu zangu msikubali kuuziwa simu mkononi ambayo ni used, na kama utanunua simu hiyo ambayo ni used basi mlipe kwa cheque, kagueni Imei number na umpige picha huyo aliyekuuzia pindi unapomkabidhi kiasi hicho cha Malipo.

Ikiwa hataki achana nae ndiyo salama yako.

Matapeli ni wengi sasa na wanabuni mbinu siku hadi siku ili kuyasukuma maisha yao.

Tunaitajika kuwa makini
 
Ndugu jifunze Kunata na beat.
Ukinunua gari used unapewa card. Jee huyo wa simu amekupa risiti na imei yake?(vile vikaratasi vinavyokuwa ndani ya box)
Kwahiyo kosa ni mhusika kutopewa risiti ya makabidhiano au ni kununua simu iliyotumika??

Simu ni kifaa kama vilivyo vingine,utofauto wake ni kwamba inatunza taarifa nyeti za mtu.kama itauzwa kwa uaminifu hata sheria itakulinda.

Kwahiyo hapa kosa sio kununua simu iliyotumika,ila ni kitofuata taratibu za manunuzi ya kitu chochote,hata tv ukiuziwa kinyeji ni mbaya tu.
 
Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila
kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli.

mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia sim ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane ( 800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini( 70,000/=) ili kukuingiza kingi ukiingia tu imekula kwako

Kwani simu hiyo unayouziwa ni ya mmoja wao (matapeli) na wanakuwa wamekopi Imei number ya simu hiyo sehemu.

Baada ya wiki wanakupigia ili kuangalia kama uko hewani. Huku wameshatoa ripoti polisi kuwa begi limeibiwa kwenye gari pamoja na vitu vingine na hiyo simu ikiwa ni mojawapo kati ya vitu vilivyoibiwa.

Na watatoa maelezo polisi thamani ya vitu vilivyoibiwa niTshs zaidi ya Milioni 7 (katika maelezo yake atakuwa ametaja laptop, fedha taslim na simu tatu au nne.)

Wanapewa mpelelezi na hapo ndipo Jeshi letu linajikuta limeingizwa kingi bila ya kujijua.

Mpelelezi anaomba msaada cyber crime kuitafuta simu hiyo.

Ikipatikana biashara inaanza . Unawekwa chini ya ulinzi kulipa vitu vyote ambavyo hujawahi hata kuviona na kesi ya wizi unayo.

nalishauri jeshi la polisi kuwa makini sana na hizi kesi za cyber. Labda mtakuja gundua kuwa simu hizi zinazotumika kutapelia watu zimekwisha ripotiwa mara mbili au tatu ndani ya miezi mitatu.

Ndugu zangu msikubali kuuziwa simu mkononi ambayo ni used, na kama utanunua simu hiyo ambayo ni used basi mlipe kwa cheque, kagueni Imei number na umpige picha huyo aliyekuuzia pindi unapomkabidhi kiasi hicho cha Malipo.

Ikiwa hataki achana nae ndiyo salama yako.

Matapeli ni wengi sasa na wanabuni mbinu siku hadi siku ili kuyasukuma maisha yao.

Tunaitajika kuwa makini
Kwani hakuna maduka ya simu,huoni kuwa anayenunua simu ya laki nane kwa elfu sabini mwenyewe ndie tatizo,hilo ni fundisho tosha.
 
Acheni kuonesha uzuzu... Kasome Sheria za TCRA kwanza ndio uje jf kushangaa vitu vingine vipowazi ila naomba niache kukulamu pengine tunapishana uwezo kifikra na ufuatiliaji na utii wa Sheria... Ila Kama wewe ni mtumiaji wa Simu zilizo chini ya mamlaka ya Nchi ya Tanzania.. Ni Kosa kununua Simu kwa Mtu usiyemjua.. hata kumpa simu yako atumie kwa matumizi yake binafsi kikiwa kibaya atakayehukumiwa ni wewe... hii ipo wazi tahadhari kwa raia wote.. so kuingizwa mkenge na mtu mwingine ni kwamba kakufanya mpumbavu.
Sheria hazisimamiwi kipopoma namna hiyo mzee.

Hivi unadhani wanaposema simu iliyotumika wanamaanisha imetumika kwa vigezo gani!!!maana bongo simu mpya labda ni 10% ya simu zote,hata hizo unazoona dukani zimetumika nje.

Tcra waliposema wanazima simu za kichina walikwenda kuzima zisizo na imei inayotambulika kwao,wakazima mpaka simu za kikorea,kwahiyo wakisema simu zilizotumika ni marufuku usiibebe hiyo kauli nzima nzima utapotezwa maboya.

Umekutana na mtu anauza simu,makabidhiano lazima yahusishe ushahidi wa maandishi au mashuhuda, basi umemaliza kazi.
 
..........Laptop na Simu nunua dukani, kama ni mkononi nunua kwa mtu unayemjua alikuwa anaitumia na akuoneshe risiti aliyopewa dukani.
 
Ninaushahidi wa asilimia 100% hii imewahi kunitokea,nimeuziwa simu baada ya siku kadhaa napigiwa na mtu wa oystarbey natakiwa kule au waje maana traking wanazo ikibadi waje nijiridhishe,nikatakiwa kulipa dolla 300 na kurudisha iyo simu sikupoteza muda pale pale nikalipa maana kikubwa niliogopa kuambiwa mwenye simu kafa.
 
Duuh[emoji119][emoji119][emoji119]Me hii niliinunua Jf hapaa...!!
 
Ni kosa kununua simu kwa mtu???

Mbona magari mnanunua na hakuna mtu anayewaona washamba.
gari hununu akama simu kuna jkubadiri kadi ya gari kitu kinaachokuwa umiliki halalli wa kisheria na ta wanahusika simu mnakabiziana mkononi tu kila mmoja na njia yake.
 
Kumbe kosa ni kutofuata utaratibu wa makabidhiano baasi.
 
Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila
kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli.

Mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia simu ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane ( 800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini ( 70,000/=) ili kukuingiza kingi ukiingia tu imekula kwako.

Kwani simu hiyo unayouziwa ni ya mmoja wao (matapeli) na wanakuwa wamekopi IMEI number ya simu hiyo sehemu.

Baada ya wiki wanakupigia ili kuangalia kama uko hewani, huku wameshatoa ripoti polisi kuwa begi limeibiwa kwenye gari pamoja na vitu vingine na hiyo simu ikiwa ni mojawapo kati ya vitu vilivyoibiwa.

Na watatoa maelezo polisi thamani ya vitu vilivyoibiwa ni Tshs zaidi ya Milioni 7 (katika maelezo yake atakuwa ametaja laptop, fedha taslim na simu tatu au nne)

Wanapewa mpelelezi na hapo ndipo Jeshi letu linajikuta limeingizwa kingi bila ya kujijua.

Mpelelezi anaomba msaada cyber crime kuitafuta simu hiyo.

Ikipatikana biashara inaanza. Unawekwa chini ya ulinzi kulipa vitu vyote ambavyo hujawahi hata kuviona na kesi ya wizi unayo.

Nalishauri Jeshi la Polisi kuwa makini sana na hizi kesi za cyber. Labda mtakuja gundua kuwa simu hizi zinazotumika kutapelia watu zimekwisha ripotiwa mara mbili au tatu ndani ya miezi mitatu.

Ndugu zangu msikubali kuuziwa simu mkononi ambayo ni used, na kama utanunua simu hiyo ambayo ni used basi mlipe kwa cheque, kagueni IMEI number na umpige picha huyo aliyekuuzia pindi unapomkabidhi kiasi hicho cha Malipo.

Ikiwa hataki achana nae ndiyo salama yako.

Matapeli ni wengi sasa na wanabuni mbinu siku hadi siku ili kuyasukuma maisha yao.

Tunaitajika kuwa makini

Asante kamanda..
 
Sheria hazisimamiwi kipopoma namna hiyo mzee.

Hivi unadhani wanaposema simu iliyotumika wanamaanisha imetumika kwa vigezo gani!!!maana bongo simu mpya labda ni 10% ya simu zote,hata hizo unazoona dukani zimetumika nje.

Tcra waliposema wanazima simu za kichina walikwenda kuzima zisizo na imei inayotambulika kwao,wakazima mpaka simu za kikorea,kwahiyo wakisema simu zilizotumika ni marufuku usiibebe hiyo kauli nzima nzima utapotezwa maboya.

Umekutana na mtu anauza simu,makabidhiano lazima yahusishe ushahidi wa maandishi au mashuhuda, basi umemaliza kazi.
Nyie ndio mnaoibiwa and then mnakuja kulamika sisi tuwasaidie nini wapumbavu?
 
Mkuu umenikmbusha mbali sana kyna tukio limewah tokea 2016 kama ckosei jamaa angu aliuziea iphone 1 matata kwa tsh lak 1 kumbe yawiz na inasadkiwa ilikua ya mfanya biashara maaruf alie uawa na kuporwa vitu vyakr aise jamaa krsi yake ilikua si mchezo miez 3 yupo sero upelelez unaendlea kuja kubain kua hausik ashaptez x chin ya milion 3 pamja na kibano cha maana
 
Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila
kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli.

Mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia simu ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane ( 800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini ( 70,000/=) ili kukuingiza kingi ukiingia tu imekula kwako.

Kwani simu hiyo unayouziwa ni ya mmoja wao (matapeli) na wanakuwa wamekopi IMEI number ya simu hiyo sehemu.

Baada ya wiki wanakupigia ili kuangalia kama uko hewani, huku wameshatoa ripoti polisi kuwa begi limeibiwa kwenye gari pamoja na vitu vingine na hiyo simu ikiwa ni mojawapo kati ya vitu vilivyoibiwa.

Na watatoa maelezo polisi thamani ya vitu vilivyoibiwa ni Tshs zaidi ya Milioni 7 (katika maelezo yake atakuwa ametaja laptop, fedha taslim na simu tatu au nne)

Wanapewa mpelelezi na hapo ndipo Jeshi letu linajikuta limeingizwa kingi bila ya kujijua.

Mpelelezi anaomba msaada cyber crime kuitafuta simu hiyo.

Ikipatikana biashara inaanza. Unawekwa chini ya ulinzi kulipa vitu vyote ambavyo hujawahi hata kuviona na kesi ya wizi unayo.

Nalishauri Jeshi la Polisi kuwa makini sana na hizi kesi za cyber. Labda mtakuja gundua kuwa simu hizi zinazotumika kutapelia watu zimekwisha ripotiwa mara mbili au tatu ndani ya miezi mitatu.

Ndugu zangu msikubali kuuziwa simu mkononi ambayo ni used, na kama utanunua simu hiyo ambayo ni used basi mlipe kwa cheque, kagueni IMEI number na umpige picha huyo aliyekuuzia pindi unapomkabidhi kiasi hicho cha Malipo.

Ikiwa hataki achana nae ndiyo salama yako.

Matapeli ni wengi sasa na wanabuni mbinu siku hadi siku ili kuyasukuma maisha yao.

Tunaitajika kuwa makini
Hivi hadi leo bado kuna watu wananunua simu za mkononi tu?!.
 
Back
Top Bottom