Jihadhari na Vodashop kwa Morombo, Arusha

mbararway

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2020
Posts
304
Reaction score
325
Kuna vijana wanao fanya kazi vodashop morombo ni waizi wa kutupwa. Unatoa laki moja wanakupa noti tisa za elfu kumi na noti moja ya elfu mbili. Unapo hesabu unawaambia mbona umeniwekea noti ya elfu mbili na si elfu kumi, watakwambia sisi si wajinga tumekupa hela zako kamili.
Pia kuna watu wanalalamika sana kuwa unaweza fika hapo ukachanganyiwa na noti fake. Vodacom Tanzania mnaharibiwa jina.
 
Nenda kachukue polisi aje kama raia na pesa ambazo wame note serial no. ili wadakwe mapema tuu... Kulikuwa na wakala mmoja ukienda kutoa pesa nyingi kuanzia milioni 3 na zaidi atakuambia mashine ya kuhesabu imezingua so anajifanya kuhesabu manually, sasa ukitoka kama hujahakiki lazima akupige elfu 10 au 20. Basi nikaenda kumleta polisi kavaa zake kiraia, kaenda kutoa milioni 2 jamaa as usual akapiga elfu 15, chap akadakwa....
 
Kuna vijana wanao fanya kazi vodashop morombo ni waizi wa kutupwa. Unatoa laki moja wanakupa noti tisa za elfu kumi na noti moja ya elfu mbili. Unapo hesabu unawaambia mbona umeniwekea noti ya elfu mbili na si elfu kumi, watakwambia sisi si wajinga tumekupa hela zako kamili.
Pia kuna watu wanalalika sana kuwa unaweza fika hapo ukachanganyiwa na noti fake. Vodacom Tanzania mnaharibiwa jina.
Watakuwa Wa Tigray hawa kwa wizi walizoea sana enzi zile walikuwa walipokuwa wamesoma wenyewe saivi naona wamehamia huko mana saizi hara Wa omoro na Wa mhara wamesoma wamebana sana ofisini huko saivi wamekaa benchi wanamaindi sana kuwa kanda pendwa tu inapewa teuzi
 
Kwa hiyo ni halali watigrey wa Tz kutuibia?
 
Walizoea sana kuiba na kubebana kwa vimemo saivi wamebakiza kujifariji tu.
Waliozoea kuibia umma Wa Tanzania saivi watakuwa wamebuni mbinu mpya.
Ila bana Wa Tigray ni Nouma wanajiona kuwa wao ni special. Kama vipi wadai nchi yao wajitenge mbona Ethiopia wnajitenga
 
Hii tabia ipo sehemu nyingi, mawakala wa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na wengine, ukienda kutoa pesa nyingi tulia hapo hapo uzihesabu vizuri, ukiwa na haraka wakala akakusoma psychology lazima akupige.

Hata ukienda maduka ya kawaida kununua unga, mchele, na mahitaji mengine, ukitoa noti ya elfu kumi au tano hakikisha change inayobaki unaihesabu hapo hapo vizuri kabla hujaondoka, ukiharakisha kuondoka inakula kwako.
 
Walizoea sana kuiba na kubebana kwa vimemo saivi wamebakiza kujifariji tu.
Waliozoea kuibia umma Wa Tanzania saivi watakuwa wamebuni mbinu mpya.
Ila bana Wa Tigray ni Nouma wanajiona kuwa wao ni special. Kama vipi wadai nchi yao wajitenge mbona Ethiopia wnajitenga
Ila na wa oromo muache kubebana sana. Itakua mnaiga tabia za kitigrey.
 
Sio kwa wakala hata kwenye mabank watu wengi wanaibiwa kifala kweli
Hawa vodashop morombo ni zaidi ya waizi. Hawaogopi wala hawana haya. Wanakupiga hapo hapo hata kabla hujaondoka
 
Michezo ya wizi ya mawakala wasio waaminifu ni mingi,lakini kikubwa ni kuhakiki kila jambo unachofanya unapokuwa kwa wakala.

Kunawakala pale Kinondoni kwa manyanya nilimpa fedha nyingi kiasi aniwekee,akachukua pesa kisha akabonyeza bonyeza simu akanambia hana salio la kutuma niende pengine.
nilipozichukua zile pesa nikazihesabu tena,nikakuta elfu 30 zimepungua.
nikachimba mkwara mbuzi,nikamkazia macho akanambia "hizi apa chini zilikuwa zimeanguka na mimi sikujua,naomba unisamehe"
aliponipa bado sikumuacha,nikavimba mpaka watu wakajaa.
Akaja mdada ana duka pembeni nae akasimulia kesi yake tofauti alivyompigwa na wakala mwingine asie muaminifu kwa wateja.
 
Ila sikuhizi ubabaishaji umezidii,
Hata ukisajili laini mpya ukiweka vocha inaweza ikatwe uambiwe ilikua inadaiwa.
 
Watakuwa Wa Tigray hawa kwa wizi walizoea sana enzi zile walikuwa walipokuwa wamesoma wenyewe saivi naona wamehamia huko mana saizi hara Wa omoro na Wa mhara wamesoma wamebana sana ofisini huko saivi wamekaa benchi wanamaindi sana kuwa kanda pendwa tu inapewa teuzi
Tuliwahi wapa kichapo wee acha tuu nikiwa hapo 833kj walimzingua pte bawakujua basi mziki wake kwanza tuliteka lori la mchanga (tiper)tukaenda nalo mtu kama 60 hivi tulifunga mtaa hizo flat screen na simu za wapita njia naza bodaboda kadhaa tulibeba na salfet *****
 
Michezo ya wizi ya mawakala wasio waaminifu ni mingi,lakini kikubwa ni kuhakiki kila jambo unachofanya unapokuwa kwa wakala.

Kunawakala pale Kinondoni kwa manyanya nilimpa fedha nyingi kiasi aniwekee,akachukua pesa kisha akabonyeza bonyeza simu akanambia hana salio la kutuma niende pengine.
nilipozichukua zile pesa nikazihesabu tena,nikakuta elfu 30 zimepungua.
nikachimba mkwara mbuzi,nikamkazia macho akanambia "hizi apa chini zilikuwa zimeanguka na mimi sikujua,naomba unisamehe"
aliponipa bado sikumuacha,nikavimba mpaka watu wakajaa.
Akaja mdada ana duka pembeni nae akasimulia kesi yake tofauti alivyompigwa na wakala mwingine asie muaminifu kwa wateja.
Sasa na Hawa vodashop morombo ni waizi na wanabaraka zote kutoka vodacom ? TCRA angalieni wananchi tunaibiwa na Hawa vijana wanao fanya kazi morombo vodashop.
 
Wizi ni hulka/tabia ya mtu.
Ata kiongozi wa nchi,Rais,Waziri n.k anaweza kuwa mwizi.
Kikubwa ni kuchezanao kuwawekea mitego kushirikiana na jeshi la Polisi,kama wamekomaa na tabia yao ya wizi watajaa tu kwenye mitego.
 
Back
Top Bottom