Sidhani kama inawezekana kuflash ikiwa katika hali hii kwa kuwa bootloader inakuwa iko locked. Hii inaelekea ni kama iCloud lock ya iPhone haifutiki mpaka uingie na Google account ya hiyo simu. Nadhani ni simu za Nexus tu zina hii kitu hadi sasa, Samsung wana version yao lakini hiyo ni mpaka uiwashe mwenyewe, ya Google ipo on by default as soon as umeweka Google account na screenlock.