Jihadhari na nenda hospitali ukapime ukiona mstari mweusi kwenye kucha zako

Mkuu Mimi Nina kimstari katikati ya kidole cha shahada mkono wa kushoto pekee lakini huwa nasikia maumivu japo si wakati wote upande huu wa Moyo na wakati mwingine nguvu hupungua na kurudi kawaida. Je kuna uhusiano wa haya maumivu na huu mstari? Toka nazaliwa alama ilikuwepo.
 
Mtaniua kwa presha najuuta kuuonabhuu Uzi mim nnao huo mstari kijana mdogo nife kwa saratani haiwezekan


Dah Upo Uwezekano Wa Wewe Kufa Kabla Ya Kombe la Dunia.
Anza Kumfata Kila Unae Mdai ili Akulipe mapema kabla Ya Kufa Kwako.
 
Back
Top Bottom