Jihadhari na nenda hospitali ukapime ukiona mstari mweusi kwenye kucha zako

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
JIHADHARI NA NENDA HOSPITALI UKAPIME UKIONA MSTARI MWEUSI KWENYE KUCHA ZAKO.

Ukiona Mstari Mweusi Kwenye Kucha yako Hii Ndio Maana Yake.jpg

Ni vizuri mara uonapo mabadiliko yeyote yasiyokuwa ya kawaida katika mwili wako, kwenda kwa daktari na kufanya uchunguzi
Watu wengi hata hivyo hawajui ishara zenye hatari katika tishu za kucha zao. Aina ya saratani ya kucha ni moja kati ya tatizo kubwa linalowapata Wamarekani wenye asili ya Afika na hata jamii nyingine kwa ujumla
Ni ishara gani zenye hatari unazotakiwa usizichukulie mzaa?
Aina hii ya kansa inatokea kwenye kucha, unaweza kuona mstari katika kucha yako, unaongezeka ukubwa na unazidi kuwa mweusi, ishara hiyo ikijitokeza ni vyema uende ukafanyiwe vipimo, la hasha ila sio kila mstari unaojitokeza kwenye kucha ni kansa ila kama unazidi siku hadi siku si jambo la kupuuzwa
Kama seli za saratani zikagundulika mapema,utoaji wa kucha na seli utaweza kukusaidia,ila kama utachelewa itakusababishi madhara makubwa zaidi.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Na nyeupe nyeupe je? Mimi huwa zinanitokea na kupotea Mkuu!

kucha nyeupe.jpg

KINGA ASILI YA MWILI KUPITIA VIDOLE

MWILI UNAKINGA ZA ASILI AMBAZO HUSAIDIA MWILI KUKUAMBIA KUA KUNA KITU KATIKA MWILI WAKO HAKIPO SAWA MFANO KUPIGA CHAFYA AU KUKOHOA ILI KUJIKINGA NA KITU KIBAYA KILICHO INGIA KWENYE MFUMO WA HEWA,

HIVYO HIVYO KWA WENYE ELIMU WANAJUA HALI YA AFYA YAKO KWA KUKUANGALIA VIDOLE VYAKO MAANA VIDOLE HUTOA ISHARA KAMA VILE MWILI UNAVYO PATA HOMA AU MATEZI HUKUAMBIA KUA UNA GONJWA LINALO KUSUMBUA NA MWILI UNAKABILIANA NALO KWA KINGA ZA ASILI

HIVYO ALAMA NYEUPE AMBAYO HUA KAMA MWENZI KWENYE VIDOLE VYAKO INA TAFSIRI HALI YA AFYA YAKO KAMA IPO SAWA AU KINGA YAKO YA MWILI IMESHUKA
MFANO WA MTU AMBAE VIDOLE VYAKE VYOTE VINA ALAMA NYEUPE KAMA YA MWENZI INA ONYESHA MTU HUYU ANA AFYA NZURI ANA NGUVU NA KINGA YA MWILI IPO JUU HIVYO UKUBWA WA ALAMA NYEUPE KWENYE KIDOLE CHAKO NDO UKUBWA WA KINGA YAKO YA MWILI JAPO IKIWAA KUBWA SANA KWA KIDOLE GUMBA HUSEMA UNA KIWANGO KIKUBWA CHA DAMU AU MOYO WAKO UNAFANYA KAZI SANA

KWA YULE MWENYE WEUPE KWENYE KIDOLE GUMBA TU INA ONYESHA KUA ANAHITAJIKA KUPANDISHA AFYA YAKE VINGINEVYO UGONJWA UTAMUINGIA KIRAHISI HIVYO KINGA YAKE YA MWILI HAIJITOSHELEZI

KWA WALE WENYE ALAMA NYEUPE KIDOGO DOGO KWENYE VIDOLE HUASHIRIA KUA HANA DAMU KWA KIWANGO IPASAVYO HIVYO MARA NYINGI MIGUU YAO UTAIONA NI YA BARIDI

KWA WALE AMBAO HAWANA KABISA ALAMA HIYO HAISEMI NI WAGONJWA LAA MAANA KUJUA MTU NI MGONJWA NI MPAKA UFANYE VIPIMO ILA INA ASHIRIA KUA ANAWEZA PATA GONJWA NA HALITATOKA KIRAHISI YAAN ANAWEZA UGUA KWA MUDA MREFU

RANGI ZA VIDOLE

NYEUPE huonyesha ana afya nzuri na kinga yake ipo juu

KIJIVU nguvu ya mwili ni ndogo, ugonjwa wa kuchoka, upungufu wa damu matatizo ya mmengenyo

PINKI mfumo wa viungo vya ndan hasa mapafu na moyo kutofanya kazi ipasavyo na mtu huyu hupoteza nguvu na inaweza sababisha kisukari au magonjwa mengine

ZAMBARAU ina ashiria mzunguko mdogo wa damu ambapo huweza pelekea kichwa kuuma au kupata kizunguzungu

NYEUSI ina ashiria mfumo mbaya sana tatizo hasaa la moyo huenda imesababishwa na unywaji wa dawa ambazo zimeleta sumu ya mwili

nafkiri kwa leo haya yanatosha kumbuka ukiona hali tajwa hapo juu kupata uhakika ni kwa kufanya vipimo sio kustuka ila ukitaka kuamin jambo hili angalia watu wakiumwa alama hii hupotea ila wakianza kupona hali ya weupe hurudi

jambo hili haliingiliani na watoto wachanga au walio katika hali ya kukua hivyo usishtushwe.

NA JAMBO BORA ZAIDI NI KWENYE VIDOLE UPATE WEUPE KWENYE VIDOLE 8 AU 10 KABISA HAPO UTAKUA UPO VIZURI

Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
dokt kutoka na vinyuznyuzi chini ya kucha kwenye ngozi ni ishara gani
je ni ttz
Nenda kapime Afya yako hospitali kapime damu na mkojo wako huenda unayo maradhi mwilini mwako yaliyo jificha au una upungufu wa Vitamin au madini mwilini mwako.Ungelipiga picha hizo kucha zako ingelikuwa jambo bora umefanya.
 
kiongozi, mimi nna alama nyeusi katika kidole cha pili kutokea dole gumba na cha pili kutoka mwisho. ila hiki cha kutoka dole gumba ni cha mda mrefu na weusi wake hauja koza sana ni ume fifia tu, ila hiki kingine ndo kina anza kina weusi fififu.
JE NISALAMA KWELI?
 
kama unavyoona ivyo vidole apo mkuu. kimoja cha mkono wa kulia niwahi kuumia mda mrefu kama miaka 26 nyuma, ila icho kingine sijaumia na ndo kinaanza kutoa mstari mweusi
 
Attachments

  • 180515-000133.png
    180515-000133.png
    91.1 KB · Views: 249
View attachment 427983

KINGA ASILI YA MWILI KUPITIA VIDOLE

MWILI UNAKINGA ZA ASILI AMBAZO HUSAIDIA MWILI KUKUAMBIA KUA KUNA KITU KATIKA MWILI WAKO HAKIPO SAWA MFANO KUPIGA CHAFYA AU KUKOHOA ILI KUJIKINGA NA KITU KIBAYA KILICHO INGIA KWENYE MFUMO WA HEWA,

HIVYO HIVYO KWA WENYE ELIMU WANAJUA HALI YA AFYA YAKO KWA KUKUANGALIA VIDOLE VYAKO MAANA VIDOLE HUTOA ISHARA KAMA VILE MWILI UNAVYO PATA HOMA AU MATEZI HUKUAMBIA KUA UNA GONJWA LINALO KUSUMBUA NA MWILI UNAKABILIANA NALO KWA KINGA ZA ASILI

HIVYO ALAMA NYEUPE AMBAYO HUA KAMA MWENZI KWENYE VIDOLE VYAKO INA TAFSIRI HALI YA AFYA YAKO KAMA IPO SAWA AU KINGA YAKO YA MWILI IMESHUKA
MFANO WA MTU AMBAE VIDOLE VYAKE VYOTE VINA ALAMA NYEUPE KAMA YA MWENZI INA ONYESHA MTU HUYU ANA AFYA NZURI ANA NGUVU NA KINGA YA MWILI IPO JUU HIVYO UKUBWA WA ALAMA NYEUPE KWENYE KIDOLE CHAKO NDO UKUBWA WA KINGA YAKO YA MWILI JAPO IKIWAA KUBWA SANA KWA KIDOLE GUMBA HUSEMA UNA KIWANGO KIKUBWA CHA DAMU AU MOYO WAKO UNAFANYA KAZI SANA

KWA YULE MWENYE WEUPE KWENYE KIDOLE GUMBA TU INA ONYESHA KUA ANAHITAJIKA KUPANDISHA AFYA YAKE VINGINEVYO UGONJWA UTAMUINGIA KIRAHISI HIVYO KINGA YAKE YA MWILI HAIJITOSHELEZI

KWA WALE WENYE ALAMA NYEUPE KIDOGO DOGO KWENYE VIDOLE HUASHIRIA KUA HANA DAMU KWA KIWANGO IPASAVYO HIVYO MARA NYINGI MIGUU YAO UTAIONA NI YA BARIDI

KWA WALE AMBAO HAWANA KABISA ALAMA HIYO HAISEMI NI WAGONJWA LAA MAANA KUJUA MTU NI MGONJWA NI MPAKA UFANYE VIPIMO ILA INA ASHIRIA KUA ANAWEZA PATA GONJWA NA HALITATOKA KIRAHISI YAAN ANAWEZA UGUA KWA MUDA MREFU

RANGI ZA VIDOLE

NYEUPE huonyesha ana afya nzuri na kinga yake ipo juu

KIJIVU nguvu ya mwili ni ndogo, ugonjwa wa kuchoka, upungufu wa damu matatizo ya mmengenyo

PINKI mfumo wa viungo vya ndan hasa mapafu na moyo kutofanya kazi ipasavyo na mtu huyu hupoteza nguvu na inaweza sababisha kisukari au magonjwa mengine

ZAMBARAU ina ashiria mzunguko mdogo wa damu ambapo huweza pelekea kichwa kuuma au kupata kizunguzungu

NYEUSI ina ashiria mfumo mbaya sana tatizo hasaa la moyo huenda imesababishwa na unywaji wa dawa ambazo zimeleta sumu ya mwili

nafkiri kwa leo haya yanatosha kumbuka ukiona hali tajwa hapo juu kupata uhakika ni kwa kufanya vipimo sio kustuka ila ukitaka kuamin jambo hili angalia watu wakiumwa alama hii hupotea ila wakianza kupona hali ya weupe hurudi

jambo hili haliingiliani na watoto wachanga au walio katika hali ya kukua hivyo usishtushwe.

NA JAMBO BORA ZAIDI NI KWENYE VIDOLE UPATE WEUPE KWENYE VIDOLE 8 AU 10 KABISA HAPO UTAKUA UPO VIZURI

Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Mi hamna rangi yoyote, iko plain tu
 
Mtaniua kwa presha najuuta kuuonabhuu Uzi mim nnao huo mstari kijana mdogo nife kwa saratani haiwezekan
 
Back
Top Bottom