Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 655
Heshima kwenu wakuu,
Mwenye hiyo namba apo chini ni tapeli wa kutupwa. Amenitumia sms akinitaka nimtumie 35,000 ili aniunganishe na HR kwaajiri ya kunipatia kazi ya IT officer. Binafsi hata siku moja siwezi kutapeliwa kwa staili hii, huyu tapeli inabidi ajipange sana ikibidi aende shule akasomee mbinu za kutapeli. Nimeweka iyo namba na jina ili watu wajihadhari nae.
0713115368(Anaitwa Frank Malegi)
Asanteni