Jihadhari na "Ma-CD" Maeneo ya Leaders Club

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,129
2,000
  1. Mnaofahamu eneo maarufu kwa ma cd daraja C, kuzunguka Leaders Club

  • Sasa hivi kuna mtegi wa Kipolisi kwa wateja
  • Na MA-CD nao wamegundua njia ya kujiongezea kipato, ile unaanza tu wanatokeA WATU wanaojifanya wamekufumania na mke wa mtu
  • Kuna ambao hujifanya kuvalia mavazi mithili ya wadada kumbe ni wezi au hutegesha wadada kisha wanakuvamia wakuibie, chunga sana
  • Kwa wanaofahamu staili ya kuinamisha, wadada wamegundua mbinu nyingine ya kukusumbua ili muda uende bila kufanikiwa na wanakutoa baruti kwa kukuambia HUJUI jinsi ya timing

Jihadharini jamani, kama una mpenzi wako tulia naye utaumbuka aidha kukamatwa au kipigo/kukombwa vitu vyako, heri ujiendee nyuma ya kituo ch Mwananyamala Hospt maana walau hao wana anuani na bei yao ni poa tena ladha ni ileile na lazima usex kwenye mfuko wa plastic (kondomu)

Hamkani si shwari tena

Chanzo; My Rapid Assessment
 
Top Bottom