Jifunze ujasiriamali.

bitun

Member
Joined
Feb 15, 2017
Posts
18
Reaction score
1
Nafundisha kudizain sendals na kutengeneza bracelate style tofaut na chen za shingo kwa 5000.changamkia fursa
 
Angalia matangazo yako kuna eneo unadanganya,au umekosea!
 
Nadanganya wapi embu nieleweshe
 
kadanganya nini tena na mie nilitaka kujiunga aisee nieleweshe chaaap nisiingie chaka
Ameshanielewesha nimekosea kwenye kuweka bei but ni makosa ya kibinadamu tuu.kama unahitaji nichek tufanye biashara
 
Nafundisha kudizain sendals na kutengeneza bracelate style tofaut na chen za shingo kwa 5000.changamkia fursa
bei gani hiyo kozi hasa ya kutengeneza sendals ni zile sendals za kimasai au aina gani
 
Hizi ni elfu kumi ni ndala nzito zilizodizainiwa na shanga kuanzia pic tano 7000
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…