Jifunze namna ya kutengeneza website bure

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Habari wanajamvi, cha kwanza kabisa unatakiwa kujua lengo kuu la website unayohitaji. Mfano, habari, michezo, biashara n.k. Hii itasaidia kujua ni script gani itakayo kufaa.

OK STEP YA KWANZA
Register kwa free or Paid webhost mzuri, mfano bofya hapa au hapa. Jiandikishe kisha utahamishwa ukurasa na utaona sehemu inakwambia create a new accont, bofya hapo kisha utaona form ya kujaza kuhusu jina la web etc. Ukisha jaza form hii website yeko inakuwa hewani mara moja (kwa wale walio tumia subdomain mfano www.jina.ilovetz.com) switch katika website yako kisha nenda autoinstall na chagua script uipendayo kulingana na categories (kwa blogers na shauri watumie wordpress). Hapa ukimaliza unaweza kuanza moja kwa moja kuitumia website yako mfano http://www.imathebrilliant.ilovetz.com
 
Account is being created. Due to DNS propagation, it can take up to 12 hours before your new domain/subdomain will start working. Sasa inachukua muda mrefu kucreate new account?? then unaposema switch to ur website una maana gani....inawezekana kufanya hivyo kabla ya kucreate nu account?
 
hyo c jinsi ya kupata a free domain tu na njia ya kuirusha websyte yako hewani maana ukimaliza ku create account u have to upload ur websyte ambayo ndo hyo sasa wa2 wanapataga shda kuitengeneza .......du u catch me mkuu the problem comes on the making .....
 
Habari wanajamvi, cha kwanza kabisa unatakiwa kujua lengo kuu la website unayohitaji. Mfano, habari, michezo, biashara n.k. Hii itasaidia kujua ni script gani itakayo kufaa.

OK STEP YA KWANZA
Register kwa free or Paid webhost mzuri, mfano bofya hapa au hapa. Jiandikishe kisha utahamishwa ukurasa na utaona sehemu inakwambia create a new accont, bofya hapo kisha utaona form ya kujaza kuhusu jina la web etc. Ukisha jaza form hii website yeko inakuwa hewani mara moja (kwa wale walio tumia subdomain mfano www.jina.ilovetz.com) switch katika website yako kisha nenda autoinstall na chagua script uipendayo kulingana na categories (kwa blogers na shauri watumie wordpress). Hapa ukimaliza unaweza kuanza moja kwa moja kuitumia website yako mfano

nasubiria maelezo baada ya :website yako mfano :
 
Account is being created. Due to DNS propagation, it can take up to 12 hours before your new domain/subdomain will start working. Sasa inachukua muda mrefu kucreate new account?? then unaposema switch to ur website una maana gani....inawezekana kufanya hivyo kabla ya kucreate nu account?

inaandika hivyo lakini inakuwa tayari ndani ya dakika 1 au 2. Hii inaapply kwa wale wenye domain zao binafsi
 
hyo c jinsi ya kupata a free domain tu na njia ya kuirusha websyte yako hewani maana ukimaliza ku create account u have to upload ur websyte ambayo ndo hyo sasa wa2 wanapataga shda kuitengeneza .......du u catch me mkuu the problem comes on the making .....

tayari kuna script ambazo ni rahisi kuedit kama blogs. Haina haja ya kuupload
 
ukisa create a new account. Utaona sehemu imeandikwa switch chini ya jina la account uliyocreate. mcubic
 
Last edited by a moderator:
kama umecreate tayari unaweza nipa link ili nijue umefikia step gani nitakupa maelekezo hapo

mmlanzi.ilovetz.com sasa nilikuwa najaribu kuedit content bila mafanikio....pia nina blog ya Wordpress...ntafanyaje niilink iwe inaonekana kwenye website.
 
Habari wanajamvi, cha kwanza kabisa unatakiwa kujua lengo kuu la website unayohitaji. Mfano, habari, michezo, biashara n.k. Hii itasaidia kujua ni script gani itakayo kufaa.

OK STEP YA KWANZA
Register kwa free or Paid webhost mzuri, mfano bofya hapa au hapa. Jiandikishe kisha utahamishwa ukurasa na utaona sehemu inakwambia create a new accont, bofya hapo kisha utaona form ya kujaza kuhusu jina la web etc. Ukisha jaza form hii website yeko inakuwa hewani mara moja (kwa wale walio tumia subdomain mfano www.jina.ilovetz.com) switch katika website yako kisha nenda autoinstall na chagua script uipendayo kulingana na categories (kwa blogers na shauri watumie wordpress). Hapa ukimaliza unaweza kuanza moja kwa moja kuitumia website yako mfano
mkuu nataka kutengeneza blog 0717901233 nichek tuyajenge
 
Back
Top Bottom