Jifunze kwa tai..

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,625
1,324
Tai anapotaka kupambana na nyoka, apambani nae ardhini kwa kujua nyoka ardhini ni mjanja sana! Na mwenye nguvu kubwa sana ni lazima amtwae na kupambana nae juu angani umbali mrefu kabisa nyoka angani hana ujanja nguvu wala stamina, wakati tai akimshambulia nyoka, nyoka hapo hana ujanja wala maarifa mpaka anaishiwa nguvu kabisa na kutupwa chini na nyoka ujifia, sasa hapo cha kujifunza ukitaka kupambana na adui yako kiroho muachie mungu mungu ndio kila kitu na nina imani Utashinda mbarikiwe sana watumishi wa mungu Ameen..
3a994b746e7c6e9b01bcddb0451a65bd.jpg
 
Je..ni kweli anauwezo wa kubeba mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 3-7?au uzito wa kilo 13
 
Nimesoma mada vizuri lakini kwenye ujumbe naona kama haviendani.
Kwa sababu tai hakumuachia Mungu kuyo adui yake bali alitafuta mbinu bora ya kummaliza huyo adui yake kiurahisi.
Mbinu ya kupambana na adui kwa kumuachia Mungu hiyo ni udhaifu hata kama ni kwa imani pambana nae hata kupitia maombi na kufunga ikiwa ni kama mbinu ya tai kumpeleka nyoka angani na kupambana nae na hata akielekea kushindwa anamuachia aanguke chini na kufa na kujipatia ushindi.
Yangu ni hayo.
 
Sabalkheri wadau!

Kumuachia Mungu mambo yaliyopo ndani ya uwezo wako?.Hizi kauli ni za watu wenye Mdudu kichwani.Mungu anakusaidia unachostahili, si unachokitaka.Msome Erickford4 hapo juu.

Sasa kwanini alikupa Ubongo?.Si ili uchakate mambo kivyako vyako then pale utakapofikia naye aweze kukusaidia?.

If you have a mental problem, You need to offer mental solutions.The same to Spiritual problem.Not viseversa.
 
Ni kweli. Ni lazima ufanye jambo lililo ndani ya uwezo wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom