Jifunze kusearch picha mtandaoni.

Jifunze kusearch picha mtandaoni.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,312
Reaction score
12,194
Inawezekana unajua lakini kuna wasiojua pia. Chukulia umeona picha flani na ukataka jua utawezaje kuiverify imetoka wapi au aliyeipost kaipata wapi. Fuata hatua hizi then.
1. Download hiyo picha kwenye simu/pc yako. Au
2. Copy link ya hiyo picha (hold picha italeta option ya save link address) kumbuka tu usisave link ya kurasa nzima ni save link ya hiyo picha.
3. Fungua link hii https://images.google.com kwa kutumia google chrome kwenye simu yako, kwenye pc itafunguka kwa urahisi zaidi.
1080504

4. Ukiifungua kwa kupitia simu basi hakikisha umebonyeza vidoti vitatu juu kulia kwa browser yako.
1080506

5. Shuka mpaka kwenye "desktop site" then weka tick.
1080507

1080509

6. Rudi sasa pale kwenye sehemu ya kuandika maelezo ya unachotaka search utaona icon ya camera imetokea iclick.
1080510

7. Utapata option mbili ya kwanza usearch kwa kutumia ile link uliyocopy au option ya pili kwa kutumia picha uliyoidownload.
1080511

8. Ukichagua kutumia image basi itakutaka ku upload picha, chagua "choose file" then nenda kaitafute picha ichague itaanza uploading ikimaliza itakuletea link zote ile picha inapopatikana.
1080512

MFANO: Nikichukulia picha ya Da'Vinci aliyoweka DP basi mambo yatakuwa hivi!.
1080516

1080518

NB: Picha ikiwa photoshopped bado itakuletea original one!.
 
nimekupata mkuu. nilikuwa nakwama kuipata option ya upload image, kumbe hadi browser iwe ktk desktop version!
 
OG insta+ haipo playstore nenda kaisearch google, ukiinstall inapiga kazi kama insta official
Nachofahamu G.image inachofanya inachukua link ya picha kisha inasachii hiyo link ndipo inapata picha, hata ukiweka picha tu inachukua link.. sio picha kama picha.
 
Nachofahamu G.image inachofanya inachukua link ya picha kisha inasachii hiyo link ndipo inapata picha, hata ukiweka picha tu inachukua link.. sio picha kama picha.
Picha nayo ni algorithms tu, so haihitajiki link kuipata muda wote!.
Mfano piga chochote hapo then jaribu kukisearch utaona inakuletea picha zinazoendana na hicho ulichopiga!.
 
Picha nayo ni algorithms tu, so haihitajiki link kuipata muda wote!.
Mfano piga chochote hapo then jaribu kukisearch utaona inakuletea picha zinazoendana na hicho ulichopiga!.
Exactly niliwahi kusearch picha yangu nikaletewa watu ambao nafanana naoo.. nadhani hapo nilimiss. Ahsante
 
Exactly niliwahi kusearch picha yangu nikaletewa watu ambao nafanana naoo.. nadhani hapo nilimiss. Ahsante
Hawa jamaa wameadvance sana na ile project Hummingbird yao!..
Hivi unajua google ni hatari kwa usalama wa dunia, wale jamaa wanajua kila kitu kukuhusu mpaka afya yako!
 
Back
Top Bottom