Jifunze kupiga picha kitaalamu

Jifunze kupiga picha kitaalamu

EBBAH

Member
Joined
May 8, 2017
Posts
75
Reaction score
75
Habari ndugu msomaji. Hii ni habari njema kwako kama unahitaji kujifunza upigaji picha kitaalamu zaidi au unataka kujiendeleza katika fani ya upigaji picha.

Tunakuletea KOZI fupi ya mwezi mmoja.
Na utafundishwa MADA 10 kuhusu "Contemporary Digital Photography" ambazo ni;

1)Introduction to Digital photography
2)Lens
3)Exposure
4)Shooting modes
5)Camera operations
6)Camera files
7)Composition
8)Lighting
9)Off-camera flash
10)DSLR video shooting

KOZI hii inatolewa kwa sasa Dar es Salaam pekee na mwanafunzi atafundishwa "PRIVATE" (Mwalimu anamfuata mwanafunzi alipo)

Mafunzo yatahusisha Nadharia na Vitendo kwa muda wa week 4.Kila siku isipokuwa Jumamosi na Jumapili mwanafunzi atafundishwa kwa masaa MAWILI. Pia mwisho wa kozi mwanafunzi atapewa MTIHANI.

ADA ya mafunzo ni Tsh 300,000/=. Unaweza lipa kwa Awamu moja au Awamu mbili.

Vigezo vya kusoma KOZI hii:

a)Kuwa na ufahamu wa lugha ya Kiingereza
b)Kuwa na mapenzi na maarifa ya upigaji picha (passion)
c)Ukiwa na camera yako mwenyewe (itakusaidia zaidi katika mazoezi)

Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0716 403 214
PXX.jpg
 
mkileta kwa sisi wa mikoani na tusiojua kiingereza utukumbushe 😀😀😀😀😀😀😀😀

Aisee itabidi nihamie DAR na kiingereza nijue
 
Back
Top Bottom