Jifunze kupata pesa kupitia youtube

Jifunze kupata pesa kupitia youtube

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Kuna wakati ukiwa una cheki video za youtube kuna uwepo wa matangazo (ads) ambazo kabla video haijaanza huwa yanatokea na kuna option ya kuyaruka kwa kuminya "Skip Ad", Je haya matangazo yapo ilimradi tu?, La Hasha, Mtu aliyeupload video ndiye aliemua hayo matangazo ayaweke awatangazie watu biashara zao kwa makubaliano ya yeye (Mwenye video) pia atalipwa kulingana na watu ambao tangazo litawifikia.
Kwa mfano, Ukiweka video yputube na ukaingia mkataba na youtube waweke matangazo ya mtangazaji kwenye video yako, Basi hapo kwa kila views 1,000 unaweza kupata 3,000/= Tshs, So mfano video yako ikipata views 15,000 na katka hizo views tangazo limewafikia watu 10,000 hapo utapewa 30,000/= Tshs.

NTAANZAJE KUTENGENEZA PESA YOUTUBE?

kwanza kabisa inabidi uombe adsense youtube kwa hii link How to earn money from your videos - YouTube Help

NIMPEWA KIBALI, LAKINI KILA NIKIUPLOAD VIDEO VIEWS NI CHACHE?

Ushindani katika kupiga pesa youtube umekuwa mkubwa sana, zamani ukiupload videos kama za udaku views zilikuwepo maana uploaders walikuwa wachache, IL kwa siku hizi ushindani ni mkubwa sana, Kama unataka kupata watazamaji wengi chaa msingi fanya yafuatayo..
1Hakikisha video zako ni HD, 1080p, 720 P. Ukifanya hivi unakuwa unique na inasaidia.
2.Keywords - Kila unapo upload video kuna kiboksi cha keywords, Hapo nakushauri uandike vitu vinavyiotrend youtube mfano. Diamond, Kiba, Udaku, Shilawadu, Siasa, Samata, Michezo, Mapenzi.
3.Video zako ziwe za matukio current - Hapa inabidi tukio lolote linapotokea pambana wewe ndie uwe wa kwanza ku upload video,
4. Share video zako kwenye mitandao ya kijamii- post video zako facebook, whatsapp group, etc
5. Pata subscribers wengi- Kadri unavyopata subscribers wengi basi unajihakikishia nafasi ya kuwa na views wengi.

NJIA YA KUPOKEA PESA
Nakushauri utumie western union maana ndio njia nyepesi na inapatikana sehemu nyingi,

NI HAYO TU
 
5. Pata subscribers wengi- Kadri k=unavyoppata subscribers wengi basi unajihakikishia nafasi ya kuwa na views wengi.

NJIA YA KUPOKEA PESA
Nakushauri utumie western union maana ndio njia nyepesi na inapatikana sehemu nyingi,

NI HAYO TU
Mpka hapo umeshapata shilling ngap?
 
Ndg ku_upload video ni rahisi je kuwa blocked hizo video kutokana na copyright pattern huwa mnafanyaje hadi video zenu zisiwe blocked

Sent using Jamii Forums mobile app

its simple hakikisha unacho Upload hakina kazi ya mtu mwingine!
e.g ume record screen ya computer yako hakikisha hamna Audio-visual yoyote ya msanii mwingine inayocheza kwenye background ukiwa una record!
Yaani hata ku record video una stream Nyimbo ya msanii fulani lazima wakupe copyright notice!

wanataka video iwe na kila kitu chako kuanzia sauti mpaka picha inayoonekana!
 
Kuna wakati ukiwa una cheki video za youtube kuna uwepo wa matangazo (ads) ambazo kabla video haijaanza huwa yanatokea na kuna option ya kuyaruka kwa kuminya "Skip Ad", Je haya matangazo yapo ilimradi tu?, La Hasha, Mtu aliyeupload video ndiye aliemua hayo matangazo ayaweke awatangazie watu biashara zao kwa makubaliano ya yeye (Mwenye video) pia atalipwa kulingana na watu ambao tangazo litawifikia.
Kwa mfano, Ukiweka video yputube na ukaingia mkataba na youtube waweke matangazo ya mtangazaji kwenye video yako, Basi hapo kwa kila views 1,000 unaweza kupata 3,000/= Tshs, So mfano video yako ikipata views 15,000 na katka hizo views tangazo limewafikia watu 10,000 hapo utapewa 30,000/= Tshs.

NTAANZAJE KUTENGENEZA PESA YOUTUBE?

kwanza kabisa inabidi uombe adsense youtube kwa hii link How to earn money from your videos - YouTube Help

NIMPEWA KIBALI, LAKINI KILA NIKIUPLOAD VIDEO VIEWS NI CHACHE?

Ushindani katika kupiga pesa youtube umekuwa mkubwa sana, zamani ukiupload videos kama za udaku views zilikuwepo maana uploaders walikuwa wachache, IL kwa siku hizi ushindani ni mkubwa sana, Kama unataka kupata watazamaji wengi chaa msingi fanya yafuatayo..
1Hakikisha video zako ni HD, 1080p, 720 P. Ukifanya hivi unakuwa unique na inasaidia.
2.Keywords - Kila unapo upload video kuna kiboksi cha keywords, Hapo nakushauri uandike vitu vinavyiotrend youtube mfano. Diamond, Kiba, Udaku, Shilawadu, Siasa, Samata, Michezo, Mapenzi.
3.Video zako ziwe za matukio current - Hapa inabidi tukio lolote linapotokea pambana wewe ndie uwe wa kwanza ku upload video,
4. Share video zako kwenye mitandao ya kijamii- post video zako facebook, whatsapp group, etc
5. Pata subscribers wengi- Kadri unavyopata subscribers wengi basi unajihakikishia nafasi ya kuwa na views wengi.

NJIA YA KUPOKEA PESA
Nakushauri utumie western union maana ndio njia nyepesi na inapatikana sehemu nyingi,

NI HAYO TU
Mkuu mimi account yangu YouTube imekuwa disable kwenye adsenc.. nimejalibu kuangalia tutorial how to re enable but sioni matumaini.. nifanye nini mkuu na nina vigezo vyote vya kuwa na AdSense?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi account yangu YouTube imekuwa disable kwenye adsenc.. nimejalibu kuangalia tutorial how to re enable but sioni matumaini.. nifanye nini mkuu na nina vigezo vyote vya kuwa na AdSense?

Sent using Jamii Forums mobile app
Adsense wanaibana sana siku hizi, Cha kufanya tafuta email yako ya zamani then itumie kuomba adsense, By the way siku hizi hadi uanze kuweka matangazo ya adsense kwenye video ni lazima uwe umeikisha views 10,000
 
Msaada Mimi viewers tayar wapo wengi ila subscribers sipati na sijui kwanini , kila siku napokea views 300-400 ila subscriber 1 so mpaka sasa Hawafiki 1000 wapo 330 tu nafanyeje msaada jamani Nina hamu kumonetize akaunti yangu
 
Angalia kwenye graph audience retention ucheck kama viewers wanaangalia videos zako kwa kipindi kirefu yaani yote.

Hebu weka video yako moja tuicheck halafu itakuwa njia nzuri ya kutathmini.
 
Back
Top Bottom