Jifunze kuishi na watu vizuri

Jifunze kuishi na watu vizuri

Asante mhubiri, ya sita wanandoa waiangalie kwa makini. Kazi ni kazi hakuna ya mwanamke au mwanaume. Mwanaume ukisikiliza wengine utaogopa kumsaidia mwenzio kupika. Usiangalie makunyanzi na maisha yatasonga
 
Tuwe wavumilivu, tuwe Na kiasi lakini tusiwe mafala kama wale manyumbu wanapiga tu makofi Na kupitisha Sheria za hovyo kabisa za madini Na gesi
ha ha ha mzee Buji katika ubora wako. Hafu wanachonikera wale nyumbu wa masai mara na serengeti, yaani wanapitisha masheria yao kwa mbwembwe nyingi huku wakiwatimua watetezi wa taifa wasishiriki au wakiwacheka, halafu majitu hayohayo baada ya miaka miwili tu, yanaunda kamati halafu yanashiriki yenyewe yanakuja na ripoti, yanaanza kujaa sumu, tumeibiwa sana, sheria mbovu utadhani zimepitishwa na watu wengine.

hivi watanzania tumerogwa nini?
 
kuna wale wenye roho za kukataliwa, maskini hata wafanye mema yapi au wajishushe vp sikuzote huonekana wabaya mwisho wa siku huishia kuishi kwenye uchungu na hasira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom