Asili ni Dawa na Ponyo
Member
- Apr 30, 2016
- 54
- 28
LEO TUANGALIE UGONJWA WA KISUKARI.
Kisukari ni ugonjwa hatari sana ambao unawasumbua watu weng sana,waume kwa wake hususan watu wazima.Katika makala hii fupi hatukusudii kuzama sana na kuuchambua ugonjwa huu bali kuhuisha matumaini na kuweka sisitizo kuwa dawa ya tatizo hili ipo tofauti na weng wanavyodhani.Hata hivyo kisukari kwa ufupi ni aina ya magonjwa jamii yasiyoambukizwa na unatokana na kukosekana kwa uwiano wa sukari mwilini
Kama tujuavyo miili yetu ina virutubisho mbalimbali ikiwemo sukari.virutubisho hivi hupatikana katika vyakula mbalimbali tunavyokula au pitia mionzi ya jua.Kazi ya virutubisho hivi ni nyingi na za aina mbalimbali,virutubisho hivi tunaweza kuviita viini.Vipo viini vinavyo husika na nishati,kinga ya ujenzi na kadhalika.Kuna viwango maalum vya sukari vinavyohitajika mwilini,viwango hivyo vinapozidi au kupungua mwilini ndipo mtu huambiwa ana kisukari.
DALILI ZA KISUKARI
Kama tulivyotangulia kusema nia yetu katika mada hii si kuuchambua sana ugonjwa huu,bali kutoa hakikisho la tiba kwa uwezo wa yule aliyezinyanyua mbingu saba pasina nguzo zenye kuonekana.Vipo viashirio kuwa tayari mtu husika amesibiwa na ugonjwa huu hatari wenye kuchupa mipaka.
1.Kusinzia au kulala kusikokwisha
2.kukojoa mara kwa mara tena wakati mwingine kushindwa kuudhibiti mpaka kujikojolea.
3.Kujisikia mchovu hata anapotembea kwa kipando na hata miinuko midogo kwake huwa mtihan mkubwa.
4.Kutomudu suala zima la tendo la ndoa
Ni vyema mtu mwenye kisukari ajiepushe na na mazingira yatayompelekea kupata vijeraha,pia ulaji wa vyakula vya kuunga kama vitumbua,maandazi,visheti pia vinywaji vyenye sukari mfanowe juice,soda,chai,uji,maziwa na kadhalika si vyenye kushauriwa kwake.Ila vyakula na vinywaji vyenye sukari halisi kama ndizi mbivu na kadhalika hatakuwa mwenye kulaumiwa endapo atavitumia pia ni vizuri mgonjwa akichukua tahadhari.
Kumekuwa na dhana au fikra kuwa ugonjwa huu hauna tiba tena bila haya wakasahau mwenyezi mungu hakuleta kwanza ugonjwa ila kwanza alileta tiba yake.
Al khayru ni dawa madhubuti yenye kumaliza kabisa tatizo hili na sio kutibu tu bali hutoa kinga pia na hii ni kutokana na wingi wa vimengenya aina ya POLIMETHOXYLATED FLAVONES[PMFs].Kimengenya au kirutubisho hiki kinaboresha uumikaji wa homoni [kichocheo] kijulikanacho kama INSULIN katika kusawazisha sukari mwilini.Pia KHAYRU ina pectin[kambalishe] kwa wingi ambazo kazi yake ndiyo kama ile ya PMFs hivyo huna sababu ya kuendelea kusumbuka na ugonjwa huu.Ijaribu na ujionee tofauti.
Tupo ilala Dar es Salaam ukonga mombasa au wasiliana nasi 0712770729.
Pia tuna dawa za B.P aina zote , pumu, taifodi, malaria, ngiri, chango aina zote, ganzi, chembe moyo, kisonono, nguvu za kiume na uzazi kwa ujumla, kushusha hedhi iliyokwama, U.T.I, bawasili n.k
KARIBUNI SANA.