Jifunze kuhusu AURA yako

Jifunze kuhusu AURA yako

kibangubangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
289
Reaction score
411
Ulisha wahi kukutana na tukio ambapo unampigia simu mtu..na atakapo pokea anasema na yeye alikuwa anakuwaza au alitaka kukupigia? (Hayo ni mawasiliano ya AURA)

Au unampigia mtu simu naye anasema ndo nilikua nimeshika simu nikupigie umeniwahi kukutana na hii?

Pia umesha wahi fika sehemu ile unafika tu wanakwambia tulikua tunakuzungumzia hapa,au kama ni mtu mmoja anasema nilikua nakuwaza hapa?

Binadamu tuna kitu kinaitwa AURA...hicho kitu kina mawimbi kama ya simu(mawasiliano)Ila mawimbi ya AURA makali kuliko minara ya simu,mawimbi yake yanaweza kusafiri hadi ulaya kwa sekunde tu...

AURA ndio mawimbi pekee yanaweza kufika MBINGU YA TATU(kama huijui mbingu ya tatu pole hiyo mbingu hata roketi za wanasayansi hazifiki)

Hizo AURA ndio mifumo ya mawasiliano ya kiroho...iwe ya kishetani au Kimungu...

AURA ndio mawimbi ya mawasiliano ya kinafsi,ukitaka kuwasiliana na Mungu au Roho Watakatifu pale kitakacho kufanya uwasiliane nao ni AURA yako unayo zalisha...

Wachawi na watu wa dini wanajua vizuri sana kazi na umuhimu wa hizi AURA..

AURA ndio msingi mkuu wa mtu,kila mtu ana AURA yake anayo zalisha...

Na AURA zinazo fanana au kuhusiana huvutana...

AURA yako itavutwa na mtu wako wa karibu au mnae fahamiana kitabia au kimatendo..

Katika maisha angalia unajihusisha na watu Gani

Ukijihusisha na watu au marafiki wa Kisiasa una asilimia kubwa kuwa mwana siasa.

Ukijihusisha na watu au marafiki wa kidini una asilimia kubwa kuwa mtu wa dini.

Ukijihusisha na na watu walevi una asilimia kubwa kua mlevi

Ukijihusisha na wazinzi una asilimia kubwa kua mzinzi

Ukijihusisha na matajiri una asilimia kubwa kua tajiri

Ukijihusisha na Maskini una asilimia kubwa kua maskini

Ukijihusisha na wasanii una asilimia kubwa kua msanii...

Ukijihusisha na wafanya biashara una asilimia kubwa kuwa mfanya biashara....

Ili ubadilishe maisha yako badilisha AURA yako.

Familia maskini zinakua maskini sababu ya AURA zao.

Familia tajiri zinakua tajiri sababu ya AURA zao...

Sasa wewe jiulize AURA yako ina nguvu kwa watu gani..ulio na uhusiano nao...

Mfano ukiamka asubuhi nani wa kwanza kukukumbuka Je ni mtu wa mikopo(AURA ya madeni),ni mtu wa dini(AURA ya imani)ni ndugu(AURA ya upendo),ni mzinifu mwenzio(AURA ya uzinzi)....nakadharika...

Hizi AURA ndo hujenga wewe ulivyo na watu wako....AURA ndio wewe!

Ili uweze kuwasiliana na Mungu au roho watakatifu unahitaji AURA yenye nguvu ya chaji chanya....

Ili uweze kuwasiliana na Shetani au mapepo na majini lazima uwe na AURA yenye nguvu Hasi..

Wachawi na Walozi wanatumia AURA HASI kufanikisha mambo yao...maana wao Mungu wao ni Shetani,ili wawe na nguvu lazima wajihusishe na nguvu hasi...

Watu wa dini au watu wema ni wale wenye AURA chanya..hawa hujihusisha na vitu au matendo mema,hufikilia kutenda mema Hawa huwasiliana na Roho watakatifu..Hawa ili wawe imara lazima wajihusishe na watu wenye nguvu chanya..
 
Japo hii umeiweka kiroho zaidi lakini hii aura mbona kimsingi inataka kufanana na Quantum Entanglements katika Quantum Physics? Kwamba kila particle ina mwenzake wanayeshabihiana na kukamilishana bila kujali umbali uliopo kati yao?

20250322_140838.png
 
Sawa Sasa AURA,ndio mawazo na Tabia?!!
 
Back
Top Bottom