the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Ndio ni kweli mm nasimamia upande wa mkulima tu simuangalii mfanyabiashara, ndomana tunauzia shamba kila mtu anakufa na chake
Nikimuuzia mfanyabiashara nyanya pink nampa faida sn alafu mm inanikata
Kuhusu nyanya kuharibika hiyo sio hoja, ndomana tunanunua mbegu za gharama sn sababu zinakaa muda mrefu bila kuharibika, pia kuna dawa za kukomaza matunda uwa tunapiga yani tunda linakomaa haliharibiki
Mfano nyanya ikiwa box 10,000/= mnunuzi akitaka pink lazima aongeze hela ndio nimchumie tofauti na hapo aende zake, wanunuzi wapo wengi
Mm nikipambana nyanya ikifika wakati wa kuvuna sichek na mtu sababu mm ndio nimeumia shamba, sipangiwi nyanya zipi nichume zipi niache
Nikiotesha mwezi huu inamana zitaanza kuchumwa mwezi wa 5 , je soko linakuwaje hapo nahis kama vile mavuno mengi yanakuwa sokoni banda ya masika.. Au unasemaje brother??
Kuna kitu nataka kujua kuhusu huyu mdudu kantangaze.. Je nikiwa niko katikati ya msitu sijazungukwa na mkulima mwingine yeyote yaan ful pori alafu hapo katikati ya pori ndio mm nalima heka zangu za nyanya je huyu mdudu anaweza nipata?
Tena nikwambie ukiona mfanyabiashara anataka nyanya pink ujue ni galagaja, ana tamaa na anakuona mjinga au hana soko la uhakika anataka kuzurura nazo akitafuta soko kama ana soko la uhakika mwenyewe hazitaki pinkOkay sawa sawa but naamini kuna mwaka utafika utafanya yote yaani utakua unalima na kuuza mwenyewe ili upate faida yote wewe sababu mkulima pia anaweza kua mfanyabiashara sababu hata hao wanaonunua kwenu na kwenda kuuza ni watu kama sisi wakulima wakawaida ndugu yangu why miaka nenda rudi tuwanufaishe wao [emoji1433][emoji1433][emoji1433]
Mkuu horticulturalist, hivi recommended spacing ya hizi semi determinate mfano assila, eden, jarrah rz, open field..!ni IPI nzuri Ikiwa 1.utalima bila Matuta, 2. Utatumia mifereji, 3. Utatumia matuta
kuna sehemu nimepita jamaa analima nyanya aina ya assila kilimo cha mvua kawaida bila Matuta(single row). katika spacing zifuatazo..!1.30*60, 2.60*75, 3.60*90,..!Naomba kujua mahusiano ya hizo spacing na mavuno..!
Wadau kuna mtu ashawahi kufanya tomato cloning? yaan unakata suckers au vikonyo unaviotesha the unakua mche wa nyanya? Na je production yake ni kama ya parent plant?
Bei ya mbegu kwa hii gamharz rz ni sh ngapi ukicompare na assila f1.
Bei ya mbegu kwa hii gamharz rz ni sh ngapi ukicompare na assila f1.
Mvua inaponyesha tu ni dawa gani inatumika kuzuia ukungu kwenye nyanya?
Hii mbegu hawana tena nmeenda juz hakuna.Bei ya mbegu kwa hii gamharz rz ni sh ngapi ukicompare na assila f1.