Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Ndio zinavunwa zikiiva zikiwa nyekunduUnavuna zikiwa nyekundu? Ukishavuna unapata soko mapema au unaweza kukaanazo kwa siku kama nne hivi ukisubiri soko? Pia unaziifadhi vipi zisiharibike mapema endapo soko halijapatikana bado.
Brother naomba kujua kilimo chako unafanyia maeneo gani ya nchi na jee .nyanya lazima ulime kwa umwagiliaji au hata kwa kutumia masika??Ndio zinavunwa zikiiva zikiwa nyekundu
Kuhusu soko uwa tunauzia shamba, mnunuzi anakuja shambani na gari lake anapakia anaondoka kama unavyoona kwenye picha tena uwa unachagua wa kumuuzia
Mbona nimesema hapo nalimia kijiji cha mbigili wilaya kilosa mkoani morogoro. Mbigili ipo dumila, ni kilimo cha masika mwezi wa tatu tunavuna mwezi wa sita pia uwa tunalima tena mwezi wa sita na wa saba cha kumwagilia ila tunalima bondeni jirani na mto ambapo uwa kunalimwa mpunga wakati wa masika, kwahiyo tukitoa mpunga tunapanda nyanya ya pili.Brother naomba kujua kilimo chako unafanyia maeneo gani ya nchi na jee .nyanya lazima ulime kwa umwagiliaji au hata kwa kutumia masika??
Nikitaka kununua shamba maeneo hayo ya dumila heka moja inaweza kuwa bei gani brother?Mbona nimesema hapo nalimia kijiji cha mbigili wilaya kilosa mkoani morogoro. Mbigili ipo dumila, ni kilimo cha masika mwezi wa tatu tunavuna mwezi wa sita pia uwa tunalima tena mwezi wa sita na wa saba cha kumwagilia ila tunalima bondeni jirani na mto ambapo uwa kunalimwa mpunga wakati wa masika, kwahiyo tukitoa mpunga tunapanda nyanya ya pili
Sijajua unataka maeneo gani, maaa kuna bondeni na juu sasa ww unataka wapiNikitaka kununua shamba maeneo hayo ya dumila heka moja inaweza kuwa bei gani brother??
Bei inategemea na muda unaonunua ila kuanzia laki 6-8Nataka bondeni Karina Na mto ili niweze kumwagilia
Duh bei yake noma nika jua kwa kuwa nikijijin ntapata kwa 200kBei inategemea na muda unaonunua ila kuanzia laki 6-8
Mashamba hayo uwa yanakodishwa kulimwa mpunga kwa 50-100 alafu anakuja kukodisha tena kulima nyanya kwa 80-100Duh bei yake noma nika jua kwa kuwa nikijijin ntapata kwa 200k
Uko inaonyeha kuna uhakika wa mvua mnalima mfululizo au watu wana pump za umwagiliaji?Mashamba hayo uwa yanakodishwa kulimwa mpunga kwa 50-100 alafu anakuja kukodisha tena kulima nyanya kwa 80-100
Yani kwa mwaka anakodisha mara mbili hawezi kuuza kwa bei hiyo
Na bado ukilima mpunga utampa 50 na ukivuna unampa gunia moja kwa kila heka
Hata laki 4 huwezi kupata shamba la kununua
Inategemea unalima wakati gani, kuna miezi ya masika hatuitaji kumwagilia kabisa na kuna kipindi tunamwagilia ila tunalima jirani na mto kwahiyo pump si muhimu snUko inaonyeha kuna uhakika wa mvua mnalima mfululizo au watu wana pump za umwagiliaji?
Ooh okay, so likiwa kame sana mnamwagilia Kwa mifereji ua kwa ndoo kwenye shina..Inategemea unalima wakati gani, kuna miezi ya masika hatuitaji kumwagilia kabisa na kuna kipindi tunamwagilia ila tunalima jirani na mto kwahiyo pump si muhimu sn
Pia nyanya si kama mboga mboga useme umwagie kila siku, unamwagia kulingana na hali ya shamba ilivyo na hali ya nyanya ilivyo mfano wakati wa kupanda, nyanya ikiwa ndogo na wakati wa kuweka mbolea au shamba likiingia ukame sn
Inategemea nyanya ipo kwenye wakati ganiOoh okay, so likiwa kame sana mnamwagilia Kwa mifereji ua kwa ndoo kwenye shina..
Kweli kabisa mkuu, sisi uwa tunalima tukijua kabisa tunauza wapiView attachment 690987View attachment 690988
Hii nyanya mchumo wa kwanza ni wiki iliyopita,hapa mavuno yanaendelea mpaka mwezi wa nane sababu hii ni nyanya ndefu na iko ndani ya Green house. Sababu soko kwanza lilianza kisha kikaja kilimo basi kg1 nauza kwa elfu 1 inamaana ukiconvert kwa crate means ni elf 50 mpaka 60 kwa crate (elf 20 kwa ndoo kubwa). Kushindwa kuandaa soko unajipelekea kushindwa kuzalisha faida nzuri. Kua kichaa zunguka sokoni tafuta wateja,cheki vibandani tafuta wateja mwisho wake ni mzuri no sweet without sweat.
Pia ukianza sokoni hata majibu ya eneo gani unilime,mbegu gani na uvune lini utakua nayo mkononi. Shime kua watofauti anzia sokoni kama unalima mazao ya mbegu,nimekua nikiipiga hiyo kelele mwaka wa nne sasa na wanaofuata hivyo wanakutana na ugumu mwanzoni but wakipata njia faida wanaiona.
Kua wa tofauti kilimo kikulipe
Hiyo sio heka, ni greenhouseIna maana kwa michumo yote wawezapata 10m kiongozi kwa ekali moja?
Ina maana kwa michumo yote wawezapata 10m kiongozi kwa ekali moja?
Kweli kabisa mkuu, sisi uwa tunalima tukijua kabisa tunauza wapi
Hii mbegu ni eden f1 au?