the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Wakulima salama? Mimi ni mkulima mtarajiwa wa nyanya, naomba ushauri wenu na uzoefu, nahitaji kulima nyanya kwny greenhouse, natarajia kuotesha kwny kitalu week mbili zijazo, sasa naomba msaada wa aina nzuri ya mbegu kwa ajili ya kilimo kwny greenhouse, lakini je nikiotesha nyanya kwny kitalu hadi kuvuna kwa mwezi huo wa pili je siwezi kukutana na mavuno ya msimu wa mvua? Hali na bei ya soko itakuwaje? Naomba uzoefu wenu wadau!
Ahsante sana !!
Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
Mkuu nlieka picha ya nyanya zangu zilipofikia unishauri nn kitafuata,,leo ni cku ya 21View attachment 681053View attachment 681054
View attachment 681055View attachment 681056
Hizo system mbili tofauti za ukulima ila kote unaweza tumia udongo,kwenye mifuko unatibu udongo kwanza au unaweza pia ukatumia mchanganyiko wa vitu vingi kutengeneza udongo wa kutumia kwa ratio stahiki mfano samadi2:udongo 1:mchanga 1 etc
Mkuu nlieka picha ya nyanya zangu zilipofikia unishauri nn kitafuata,,leo ni cku ya 21
can nliweka km siku 10 zilizopita,, nitahitaji kuweka tena mbolea yoyote? vp kuhusu dawaSijaziona ila kwa siku ishirini na moja ni muda wa kuweka mbolea za kukuzia kama vile can,npk etc.
Mbolea gani umeweka ya mwisho na umeweka lini?
can nliweka km siku 10 zilizopita,, nitahitaji kuweka tena mbolea yoyote? vp kuhusu dawa
vp kuhusu farmzeb na linkmill hapo kweny ukunguWeka winner baada ya siku 14 toka uweke can. Dawa tazama kuna wadudu wowote kama hakuna basi dawa hakuna haja piga tu dawa ya ukungu on weekly basis ya kukinga ndio inatakiwa kama dawa yenye mancozeb,copper,sulphur,chlorothalonil etc
vp kuhusu farmzeb na linkmill hapo kweny ukungu
Mkuu je unaweza kupanda kitunguu kwenye greenhouse,yaani sehemu zenye kustawi kitunguu kama ruaha mbiyuni unaweka greenhouse ili kukiepusha na kupata magonjwa,ukungu nk.Sijaziona ila kwa siku ishirini na moja ni muda wa kuweka mbolea za kukuzia kama vile can,npk etc.
Mbolea gani umeweka ya mwisho na umeweka lini?
mvua hakuna,, na kwenye mbolea km sina winner naweza rudia can au niache tuu??Linkmil inakinga na kutibu. Huko kuna mvua kipindi hiki? Sababu kama hakuna mvua bora utumie ya kukingaa pekee sababu pia ni rahisi kuliko za kukinga na kutibu
Mkuu je unaweza kupanda kitunguu kwenye greenhouse,yaani sehemu zenye kustawi kitunguu kama ruaha mbiyuni unaweka greenhouse ili kukiepusha na kupata magonjwa,ukungu nk.
Mvua hakuna, na kwenye mbolea km sina winner naweza rudia can au niache tuu?
Wakuu salaamu tena,
Mwenye kufahamu soko na kilimo cha Tango naomba shule kidogo
Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
Yes mkuu nipo Tanga mkuu
ok, so mbolea naweka mara ngap hadi kuanza kuchuma??Kama huna winner tumia npk yoyote uirotate na can yaan ukiweka npk this time kipindi kingine unaweka can.
Iliyobora zaidi ni mop hii unaichanganya na can ukiipata utafurahi sana
Mbegu zipo za bei tofauti tofauti unanunua ambayo unauwezo nayo,Heeeee hiyo ni gharama ya mbegu tu?
Kumbe gharama ya mbegu ya nyanya inakimbuzana na gharama yavm dhahabu
Mbolea huweki kwa kuhesabu idadi, ukishaweka za kupandia na kukuzia unakuwa unakagua hali ya shamba, unaangalia nyanya zako shamba zinakuwa zinavyotakiwa kama zitahitaji mbolea utaweka tenaok, so mbolea naweka mara ngap hadi kuanza kuchuma??