Jifunze kiingereza

Is grammar yote hapa, grammatically correct ?
 
Majina yanayoshia "y" tunaiua hyo "y" inakuwa "i" af tunaongeza "es"

Mfn:- Baby..babies,
Fly-flies.

Lkn kwa majina yanayoishia na "y" lkn nyuma ya hyo "y" kukawa na moja wapo ya irabu(vowels..a e i o u) tunaongeza tu "s" kwenye wingi wake.


Mfn:- boy..boys
Key..keys



Kwasababu nyuma ya hizo "y" kuna irabu(vowels..o na e)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…