mediy dullah
Member
- Jan 9, 2014
- 35
- 12
KITU CHA MSINGI AMBACHO BADO NI KIGENI KWETU.
Habari za wakati huu watanzania hasa wadau wa maendeleo na technolojia.
Kuna kitu kidogo napenda kuwafahamisha.
Katika sekta ya viwanda hasa katika upande wa wataalamu wa mitambo.Marine Engineers ni wafanyakazi bora kabisa kwa kazi yako. Kwa nini nasema hivyo.??
Kwanza naomba nielezee kidogo kuhusu marine engineers.Nikisema marine engineer moja kwa moja wengi tutawaza baharini,ni kweli kama mawazo yetu yalivyo lakini naomba kukupa kitu kidogo cha tofauti. Marine engineers wanahusika sana na mitambo inayopatikana katika meli.Meli ni chombo kikubwa chenye mitambo mingi sana ambayo asilimia kubwa inapatikana viwandani.Kwa maana hiyo marine engineers wana asilimia 100% ya kufanya kazi viwandani tena kwa ubora zaidi.Kwa sababu zifuatazo.
1⃣Marine engineers wanapewa mafunzo ya kufanya kazi kwa umakini wa hali ya juu sana.Mafunzo haya ni standard kimataifa na yanafundishwa kwa kufuata mtaala wa kimataifa uliowekwa na shirika la kimataifa la maswala ya bahari (IMO). Hizi ni kozi zinazofundishwa na vyuo vya maswala ya bahari na kutolewa vyeti na mamlaka husika katika maswala ya usafirishaji.Kwa hapa kwetu Tz SUMATRA ndio mamlaka inayotoa hivyo vyeti.Kozi hizo ni
personal safety and social responsibility- kupitia kozi hii mhitimu anakuwa mfanyakazi makini kabisa katika usalama wake,usalama wa wenzake na usalam wa mitambo.Pia mhitimu anakuwa vizuri katika masuala ya mawasiliano na mahusiano kurahisisha kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na wenzake.
Fire prevention and fire fighting- hii inamsaidia kujikinga na majanga ya moto na namna ya kupambana na moto.Marine engineer ni mtu makini sana katika kuepusha ajali za moto katika mazingira ya kazi.
Elementary first aid- hii inamsaidia mhitimu kuweza kutoa msaada au huduma ya haraka kwa majerui yeyote atakaetokea eneo la kazi.
Security awareness training- hii inahusika na masuala ya usalama katika mazingira ya kazi.
Nimejaribu kueleza kwa kifupi tu
2⃣Marine engineer ni engineer tofauti sana na wengine kwa sababu huyu anahitimu kwa vyeti vya aina mbili
academic certificate- hivi ni vyeti vya elimu yetu hii ya kusoma darasani ya kusoma na kufanya mitihani na kupata GPA.Ambao ndo mfumo wa fani zote za uhandisi kwa nchi yetu.
professional certificate- hivi ni vyeti ambavyo hupatikana kwa mtu kufanya kazi kwenye mitambo mikubwa kwenye meli kwa muda fulani halafu na kupewa mtihani wa oral na jopo la wataalam wa mitambo na anapofaulu hupewa cheti kinachotambulika kama certificate of competence .Ambavyo baada ya muda fulan muhitimu analazika kurudi darasani na ku refresh hii ni kutokana na mabadiliko ya teknolojia.
3⃣
Marine engineer wanakuwa na ujuzi mwingi kiasi cha kutumika katika kazi nyingine (multipurpose). Baadhi ya ujuzi walionao marine engineer ni:
Mechanical engineering
Electrical engineering
refrigeration & air condition
water supply system
architecture
electronics
Na vingine vingi tu.
4⃣Marine engineers wana nidhamu ya hali ya juu.Kama tunavyofahamu fani ya marine asili yake ni jeshini. Hivyo kwa kuajiri marine engineers katika industry yako unajihakikishia kupata wafanyakazi wenye nidhamu kwa sababu marine engineer wanafundishwa kuwa na nidhamu ya hali ya juu.Asilimia kubwa ni wale wenye wito. Kauli kubwa anayoishi nayo mariner "MASTER IS ALWAYS PERFECT".
Nafikiri kwa tathimini ya haraka haraka utagundua marine engineer watakufaa kwa kazi yako.
Kwa nchi yetu chuo kimoja tu kinachotoa Marine engineering DAR ES SALAAAM MARITIME INSTITUTE.Karibuni sana Sokoine drive nyuma ya Halmashauri ya jiji mjionee makubwa yanayofanyika.DAR ES SALAAM MARITIME INSTITUTE IS THE CENTER OF EXCELLENCE IN MARITIME EDUCATION AND TRAINING IN EAST AFRICA REGION.
Habari za wakati huu watanzania hasa wadau wa maendeleo na technolojia.
Kuna kitu kidogo napenda kuwafahamisha.
Katika sekta ya viwanda hasa katika upande wa wataalamu wa mitambo.Marine Engineers ni wafanyakazi bora kabisa kwa kazi yako. Kwa nini nasema hivyo.??
Kwanza naomba nielezee kidogo kuhusu marine engineers.Nikisema marine engineer moja kwa moja wengi tutawaza baharini,ni kweli kama mawazo yetu yalivyo lakini naomba kukupa kitu kidogo cha tofauti. Marine engineers wanahusika sana na mitambo inayopatikana katika meli.Meli ni chombo kikubwa chenye mitambo mingi sana ambayo asilimia kubwa inapatikana viwandani.Kwa maana hiyo marine engineers wana asilimia 100% ya kufanya kazi viwandani tena kwa ubora zaidi.Kwa sababu zifuatazo.1⃣Marine engineers wanapewa mafunzo ya kufanya kazi kwa umakini wa hali ya juu sana.Mafunzo haya ni standard kimataifa na yanafundishwa kwa kufuata mtaala wa kimataifa uliowekwa na shirika la kimataifa la maswala ya bahari (IMO). Hizi ni kozi zinazofundishwa na vyuo vya maswala ya bahari na kutolewa vyeti na mamlaka husika katika maswala ya usafirishaji.Kwa hapa kwetu Tz SUMATRA ndio mamlaka inayotoa hivyo vyeti.Kozi hizo ni
personal safety and social responsibility- kupitia kozi hii mhitimu anakuwa mfanyakazi makini kabisa katika usalama wake,usalama wa wenzake na usalam wa mitambo.Pia mhitimu anakuwa vizuri katika masuala ya mawasiliano na mahusiano kurahisisha kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na wenzake.
Fire prevention and fire fighting- hii inamsaidia kujikinga na majanga ya moto na namna ya kupambana na moto.Marine engineer ni mtu makini sana katika kuepusha ajali za moto katika mazingira ya kazi.
Elementary first aid- hii inamsaidia mhitimu kuweza kutoa msaada au huduma ya haraka kwa majerui yeyote atakaetokea eneo la kazi.
Security awareness training- hii inahusika na masuala ya usalama katika mazingira ya kazi.Nimejaribu kueleza kwa kifupi tu
2⃣Marine engineer ni engineer tofauti sana na wengine kwa sababu huyu anahitimu kwa vyeti vya aina mbili
academic certificate- hivi ni vyeti vya elimu yetu hii ya kusoma darasani ya kusoma na kufanya mitihani na kupata GPA.Ambao ndo mfumo wa fani zote za uhandisi kwa nchi yetu.
professional certificate- hivi ni vyeti ambavyo hupatikana kwa mtu kufanya kazi kwenye mitambo mikubwa kwenye meli kwa muda fulani halafu na kupewa mtihani wa oral na jopo la wataalam wa mitambo na anapofaulu hupewa cheti kinachotambulika kama certificate of competence .Ambavyo baada ya muda fulan muhitimu analazika kurudi darasani na ku refresh hii ni kutokana na mabadiliko ya teknolojia.3⃣
Marine engineer wanakuwa na ujuzi mwingi kiasi cha kutumika katika kazi nyingine (multipurpose). Baadhi ya ujuzi walionao marine engineer ni:
Mechanical engineering
Electrical engineering
refrigeration & air condition
water supply system
architecture
electronicsNa vingine vingi tu.