Nimetokea kuukubali sana huu Mziki aisee, nafurahi sana ninapo msikiliza mtu kama Kygo, Avicii(R.I.P),Neovaii,Galantis,Martin Garrix, Calvin Harris,The Chainsmokers, natamani sana huu mziki ungekuwepo tz kwasababu una mzuka sana, na hua naangalia show zao nje yan watu ni full shangwe sana