mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,287
- 1,855
Kwa wote wanaotaka kujifunza computer na teknolojia yake na mambo ya graphics na web design bure youtube nitakuwa nikikuletea ujuzi wa aina mbali mbali, ndio nimeanza na excel njoo ujifunze ukiwa na swali usisite andika swali pale pia subscribe na like pia.