Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Hata hiyo habari ya tunda ni kwa kuwa mwanamume alishiriki kula ndiyo maana hata wewe ukajua, vinginevyo hadi leo usingejua...Mi nadhani kuna darasa alipewa mwanamke siku ile sema bible ikatuambia habari za Tunda tu
Nenda ukafanye research, uje utupe Majibu hapa.Mi nadhani kuna darasa alipewa mwanamke siku ile sema bible ikatuambia habari za Tunda tu
Wewe Hutaki kujifanya Nyoka???.Walio tayari kujifanya nyoka wanakuja
Bora wewe umekuwa mkweli.asitoe papuchi bila fweza
ndo maana tunadumisha chaputa waaaiii
Eti eennhh!!! .Siri yetu
Kabisaaa!, umenena.PENYE UZIA, PENYEZA RUPIA
Mimi sijui. Ndo utuambie sasa.Hivi kipindi kile fedha ilikuwepo
Kwa hiyo, ni kiherehere chao eennhh??!!!.Nyoka mimi wala sikumfundisha eve kuhusu hela ila kuhusu tigo nilimfafanulia kidogo
Hii ni registration number ya Vyombo vya moto.